Latest Posts
Magazetini Leo Alhamisi, Tarehe 24, Mei, 2018
Ni asubuhi nyingine tena na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania May 24 2018 kuanzia ya, Udaku, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa.
Joyce Msuya ateuliwa naibu katibu mkuu wa Shirika la Mazingira Duniani (UNEP)
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amemteua Mtanzania Joyce Msuya kuwa Naibu Katibu Mkuu na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la mazingira duniani, UNEP. Ofisi kuu za shirika hilo la UN lipo jijini Nairobi, Kenya. Bi Msuya atachukua…
ARSENAL WAPATA UDHAMINI RWANDA
RWANDA imeingia mkataba wa miaka mitatu na Arsenal ambapo kwenye mabega ya jezi zao kutakuwa na ujumbe wa ‘Visit Rwanda’. Ujumbe huo ambao unamaanisha tembelea Rwanda, utakuwa kwenye jezi za kikosi cha kwanza pamoja na timu ya vijana na ile…
“DEAL DONE” MZEE WENGER AMKABIDHI RASMI MIKOBA UNAI EMERY
Unai Emery ametangazwa kuwa meneja mpya wa Arsenal na afisa mkuu mtendaji wa klabu hiyo Ivan Gazidis. Bw Gazidis amesema Emery amepewa fursa ya kipekee ya kuongoza “sura mpya” yaklabu hiyo ya England. Emery, 46, amejiunga na Gunners baada ya…
RAIS WA GHANA ATOA AMRI YA KUKAMATWA KWA MWENYEKITI WA SHIRIKISHO LA SOKA LA GHANA
Rais wa Ghana Akufo-Addo amemrisha kukamatwa mwenyekiti wa shirikisho la kandanda la Ghana Kwesi Nyantekyi, ambaye pia ni makamu wa rais wa kwanza wa shirikisho la kandanda barani Afrika CAF. Hatua hiyo inafuatia makala moja ya uchunguzi ambayo inamhusisha Kwasi…
RAIS DONALD TRUMP AHOFIA MKUTANO NA JONG-UN
Rais Trump ametilia shaka kufanyika mkutano adimu na kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong-un mwezi june huko Singapore . Amesisitiza kuwa hata hivyo Korea kaskazini itapaswa kutimiza vigezo vilivyowekwa ambayo ni nadra kutokea. Korea Kaskazini ilikwisha sema kuwa inaweza kujiondoa…