JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Kuna mambo hayakwenda sawa, vyema yanaanza kurekebishwa

Kuna mambo nadhani ni mhemko wa utandawizi (mnaitaga utandawazi) au ujinga tu wa kuiga wazungu tuliyapokea na kuyafanya ndio utamaduni wetu na hata kuyatungia sheria bila tafakari ya kina! Na ilikuwa mtu ukiyatolea maoni tofauti unaonekana wewe wakuja au hamnazo!…

Yah: Umiliki wa mashamba na majengo ya walalahoi uzingatiwe

Nimesikia matangazo ya watu mbalimbali, kila mtu akinadi kile anachokijua, sasa ni kama nimevurugwa na akili yangu haifanyi kazi ipasavyo kutokana na matangazo hayo ya wananchi wenye kunena kwa niaba ya Serikali, huku wakijua wazi kwamba hawana mamlaka ya kunadi…

BAKWATA inasikitishwa

“BAKWATA kwa niaba ya Waislamu wote, inalaani mauaji yote yanayotokea mkoani Pwani, na kutoa wito kwa Waislamu kukaa mbali na makundi yanayojihusisha na mauaji haya. “Tumesikitishwa sana na vitendo hivi vyenye viashiria vya kutaka kuchafua sifa nzuri za nchi yetu kuwa…

Baadhi ya mila na desturi tunazozitupa zina manufaa kwa jamii

Jambo moja la msingi linalopambanua binadamu ni mila zao. Wanaweza kufanana kwa mwonekano, lakini utawatofautisha kwa mila na desturi zao. Nimeyawaza hayo baada ya kusikia hivi karibuni taarifa kuwa, kwa mara ya kwanza, seneta mwanamke nchini Australia amekuwa mbunge wa…

Maombi kwa Kamishna wa Ardhi kuweka zuio

Transfer ni kubadilisha hati au leseni ya makazi kutoka jina la mmiliki wa awali kwenda kwa mmiliki mpya. Transfer inaweza kufanyika kutokana na mauzo, kupewa zawadi, fidia, n.k. Kwa hiyo, kuzuia transfer ni kuzuia kubadilishwa kwa hati kutoka mmiliki wa…

Ujasiri wa leo ni tumaini la kesho

Ujasiri wa leo ni tumaini la kesho, hebu fumbua macho yako uone. Mungu anakuonesha mamilioni ya fursa siku ya leo. Mwandishi Robinson Maria anasema, hakuna anayeweza kurudi nyuma na kuanza mwanzo mpya, lakini yeyote anaweza kuanza leo na kutengeneza mwisho…