Latest Posts
Naipenda Tanzania Yangu, Nasimama na Rais Wangu
Kila siku nashuhudia wananchi wenzangu wakikalamika. Natamani kujibu. Naacha. Natamani kuwakumbusha wananchi wenzangu. Naacha. Nasema mbona sisi ni wepesi kusahau? Natamani kuwakumbusha wabunge wenzangu. Naacha. Nasema na mimi sasa nipo kwenye Serikali. Ni mtunga sera, ni mfanya maamuzi, nikisema watasema…
Ndugu Rais, Muumba akujalie ulinzi ‘wa kufa mtu’
Ndugu Rais kazi ambayo unaifanyia nchi hii ni njema sana. Na kwa hili Mwenyezi Mungu akutangulie! Lakini, baba, tambua kuwa katika kuifanya kazi hii njema, uko peke yako! Na maadui wako wakubwa wako nguoni mwako! Kumbuka methali ya kikulacho… Baba…
Takukuru yamchunguza Meneja MPRU
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imeanza uchunguzi wake dhidi ya Meneja wa Taasisi ya Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu (MPRU), Dk. Milali Machumu ambaye analalamikiwa kwa kuwanyanyasa na kuwafukuza wafanyakazi bila kuzingatia taratibu zilizowekwa. Kwa mujibu…
Maji kwa wingi hupunguza msongo wa mawazo, hasira
Kama unahitaji njia rahisi na ya asili ya kuepukana na maisha yenye hasira au yaliyojaa msongo wa mawazo, basi jenga utamaduni wa kunywa maji kwa wingi. Ogani zote kwenye miili yetu zikiwamo ubongo, zinahitaji maji kwa wingi ili kufanya kazi…
Watanzania tuchukue hatua…
Wizara ya Nishati ya Kenya imepiga marufuku gesi ya kupikia kutoka Tanzania kuingia nchini humo. Upigaji marufuku huo umefanywa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati ya Kenya, mwezi Aprili mwaka huu. Uamuzi huu wa Kenya ni kinyume na misingi…
Mtoto ni malezi, tutoe malezi bora
Mwanafalsafa William Arthur Ward anasema; Shukrani inaweza kubadili siku za kawaida kuwa siku za shukrani, kubadili kazi za kila siku kuwa furaha, na kubadili fursa za kawaida kuwa baraka. Leo ninaomba nizungumzie makuzi na malezi bora kwa watoto. Katika dunia…