JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Hata kwao Mohammed Ali wapo wachawi

Mwanamichezo na mwanamasumbwi mashuhuri Mohammed Ali ameugua kwa muda mrefu na kufariki hivi karibuni na tayari wanatafutwa wachawi wake.  Si uchawi ule tuliozowea kuusikia Waafrika lakini ni uchawi unaokuzwa na kushamiri kwa sababu binadamu wote asili yao moja na hata…

Pumzika kwa amani Keshi, Afrika yote itakukumbuka

W iki iliyopita, familia ya mpira wa miguu katika Bara la Afrika ilipata msiba mzito kwa kumpoteza nguli wa soka wa Nigeria, Stephen Keshi, ambaye ana historia ndefu nchini humo. Keshi alikuwa mchezaji katika miaka ya 1990 pamoja na Kocha…

JWTZ kazini

Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeingia kazini rasmi na kuahidi kushughulika na vitendo vyovyote vya kikatili vinavyoendelea hapa nchini, hasa mauaji yaliyotokea Mwanza na Tanga hivi karibuni. JWTZ wameamua kuimarisha ulinzi nchini kote kutokana na matukio ya mauaji hayo,…

Barua ya elimu kwa Rais Magufuli – 2

Wiki iliyopita mwandishi wa makala hii ndugu Kalisti Mjuni, alizungumzia umuhimu na mbinu bora za kuandaa walimu. Katika sehemu ya pili, leo Mjuni anazungumzia mahitaji ya msingi kwa utoaji wa elimu bora. Endelea… Mazingira bora. Ili kazi yoyote iweze kufanyika…

EU wasisitiza mgombea binafsi

Jumuiya ya Ulaya (EU) imetoa ripoti ya waangalizi wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 hapa nchini, na kutoa mapendekezo kadhaa, yakiwamo ya kuishauri Tanzania kuruhusu kuwapo wagombea binafsi. Pia EU wanashauri mabadiliko makubwa kwenye sheria, ili kuwapa fursa wagombea na…

Familia yailalamikia Mahakama Kuu Tanga

Mahakama Kuu kanda ya Tanga, inatuhumiwa na familia ya Ramadhan Athuman Mohamed, aliyehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa kosa la kula njama na kusafirisha dawa za kulevya katika Basi la Tawakal, kuwa haikumtendea haki. Familia ya mfungwa huyo ambaye…