JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Uhusiano wa Kombe la Dunia na umeme

Kombe la soka la FIFA (Kombe la Dunia) limeanza kwa wiki zaidi ya moja sasa. Lilianza kwa kuwakutanisha wenyeji Russia dhidi ya Saudi Arabia kwenye uwanja wa Luzhniki jijini Moscow. Nimekumbuka jamaa yangu mmoja ambaye, tofauti na mimi, hana ushabiki…

Ndugu Rais ‘National Breakfast Prayer’ itufunze

Ndugu Rais ni kweli kwamba ukiwa mkweli sana unaweza ukafika mahali ukasema, bora baba yangu angekuwa ni huyu mzee jirani yetu kuliko huyu baba niliyenaye! Kuna baba wengine ni kero kwa watoto wao. Na wengine kama mkosi! Tunaziona nyumba nyingi…

Ndani ya Wapinzani yamo yenye manufaa

Tanzania ni nchi ya kidemokrasia inayofuata mfumo wa siasa wa vyama vingi. Tangu kurejeshwa kwa mfumo huo mwaka 1992, yamekuwapo manufaa mengi. Tutakuwa watu wa ajabu endapo tutabeza kazi nzuri na ya kutukuka iliyofanywa na baadhi ya wapinzani makini katika…

Mfumo dume chanzo cha ukeketaji Ngorongoro

Watoto wa kike wanalazimishwa kuolewa Sheria za kimila zinawabeba wanaume   NGORONGORO NA ALEX KAZENGA Kukosekana kwa usawa wa kijinsia katika jamii ya Kimaasai kunachochea ukeketaji watoto wa kike katika jamii hiyo wilayani Ngorongoro, Arusha. Chanzo cha kuota mizizi kwa…

Mniruhusu nimseme Mchechu akingali hai

Wiki hii nilikusudia kuandika makala fupi kueleza yale niliyoyaona kwa majirani zetu wa Mashariki na Kusini mwa Afrika. Kama ilivyo ada ya mtembezi, yapo mabaya, lakini yapo mazuri pia anayoyaona awapo matembezini. Naomba kazi hiyo niifanye kwenye matoleo yajayo. Nimeguswa…

Bajeti yetu, kilimo na viwanda

Na Deodatus Balile, Abuja, Nigeria Wiki hii nimekuwa hapa jijini Abuja, Nigeria. Nimepata fursa ya kukutana na Rais Mohamed Buhari wa Nigeria. Nimekutana na mawaziri wa Habari, Fedha, Viwanda na Biashara. Kukutana kwetu kumekuwa kama zari. Kilichonileta hapa Nigeria ni…