JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Tuwatundike viongozi wa Afrika msalabani

Nachukua fursa hii kumpongeza Padre Vedasto Ngowi kwa makala zake mbili zilizopita katika gazeti la Raia Mwema. Makala ya kwanza ilikuwa inasema, ‘Ngozi nyeusi, Kinyago cheupe’. Makala ya pili ilikuwa inasema; Historia yetu inahitaji kuponywa? Rejea gazeti la Raia Mwema,…

Funzo kutoka kwenye kodi ya majengo

Mamia kwa maelfu ya wananchi, wamejitokeza na wanaendelea kujitokeza kulipa kodi ya majengo. Muda uliopangwa ulipungua. Umeongezwa kwa wiki kadhaa, lakini bado idadi ya watu wanaojitokeza kulipa ni kubwa mno. Maombi ya wananchi ya kuomba kuongezewa muda yameitikiwa na Mamlaka…

Je, Katiba inanyumbulika?

“Laiti ingelikuwa, laiti ingelikuwa Katiba haingefupisha muda fulani, mimi ningeshauri hapa huyu bwana awe rais siku zote…” Kauli hiyo ilitolewa tarehe 26 Juni, 2017 na Rais Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Pili, Alhaji Ali Hassan Mwinyi, wakati wa kutoa…

Yah: Uhuishaji wa majukumu yetu Watanzania bado tuna safari ndefu

Nianze waraka wangu kwa kuwapongeza wale wachache, ambao kimsingi wanakubaliana na mabadiliko ya kazi kila siku japokuwa nao ni kama kumkunja samaki aliyeanza kukauka, kuna siku wanaweza kuvunjika wakiwa katika jitihada za kujikunja. Nchi yetu ipo katika kipindi kigumu cha…

Afrika tunaibiwa sana, tena sana

Taarifa iliyotolewa hivi karibuni na shirika lisilo la kiserikali la Global Justice Now inaeleza jinsi gani Bara la Afrika linavyoibiwa rasilimali zake. Ripoti hiyo, inayoitwa Honest Accounts 2017, inaeleza kuwa kwa mwaka 2015 mali na pesa za thamani ya dola…

Lazima tuwe tayari kujifunza

Ujio wa Klabu ya Everton na juhudi za Serikali za kurudisha michezo mashuleni hauwezi kuwa na maana kama viongozi wa michezo hawatakuwa na mipango madhubuti na kuwa tayari kujifunza toka katika nchi ambazo zipo juu kisoka. Wakizungumza na JAMHURI kuhusu…