JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Tembo, faru hatarini kutoweka

Machafuko ya kisiasa katika nchi za Afrika na mapigano ya wenyewe kwa wenyewe, kumechangia kuzagaa kwa silaha za kivita katika baadhi ya nchi ikiwamo Tanzania, hatua iliyotajwa kuwa kichocheo kikubwa cha mauaji ya tembo nchini. Kauli hiyo imetolewa hivi karibuni…

Mifugo kuua Hifadhi ya Katavi

Hifadhi ya Taifa ya Katavi iko hatarini kutoweka, kutokana na kuingizwa kwa maelfu ya mifugo. Katavi ni Hafadhi ya Taifa ya tatu kwa ukubwa miongoni mwa hifadhi 16 hapa nchini. Hifadhi nyingine ni Serengeti, Ruaha, Mikumi, Milima ya Udzungwa, Milima…

CCM acheni majungu, jengeni nchi

Leo naandika makala hii nikiwa hapa jijini Accra, nchini Ghana. Ghana ni nchi iliyokuwa ya kwanza kupata uhuru barani Afrika.  Nchi hii ilitutangulia miaka minne kupata uhuru kwa maana ya kupata uhuru Machi 6, 1957 ambapo Dk. Kwame Nkrumah alitangazwa…

Siasa za vyuo vikuu zinaashiria hatari

Tunatambua na kuheshimu haki ya kila Mtanzania ya kushiriki siasa. Siasa katika mfumo wa vyama vingi zina changamoto ambazo Taifa lisipokuwa makini linaweza kujikuta watu wake wakigawanyika. Kinachoendelea sasa katika vyuo vikuu si kitu cha kufumbiwa macho. Mamia kwa maelfu…

Daladala zinavyosumbua wananchi

Nazungumzia daladala za Dar es Salaam. Kihistoria mpaka mwaka 1983 hakukuwa na mabasi ya abiria yaliyokuwa yakiitwa ‘daladala.’ Jina hili ‘daladala’ lilianza kutumika mwaka 1983. Mwaka 1983 Dar es Salaam ilikuwa na magari machache ya abiria. Watu wengi wakawa wanachelewa…

Kuwa ombaomba ni fedheha

Awali ya yote, nianze mada hii kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa zawadi ya uhai aliotujaalia, mimi na wewe, kuweza kuwa hai hadi sasa.  Naamini uhai tulio nao ni kwa neema ya Mungu maana wengi walitamani tuwe nao lakini haikuwezekana. Hivyo…