JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Yah: Siasa za wanasiasa baada ya uchaguzi, ni dhambi

Nianze kwa kuwapa hongera wananchi wote kuyakubali mabadiliko yaliyotokea pasi na mnadi mwingine ambaye inasemwa na wanasiasa kuwa kadandia ajenda yao mbele, lakini pia inawashughulikia kama wengine waliokuwa na maisha ya kujiongeza binafsi. Hii dhana ya mabadiliko imekuwa ngeni kivitendo,…

Muungwana ni kitendo

Ada ya mja hunena, muungwana ni kitendo. Hii ni methali chanya na tambuzi kwa mtu yeyote anayejisifu au anayetambuliwa ni muungwana. Muungwana ni mtu mwenye adabu na tabia zinazokubalika katika jamii; adinasi. Maana ya pili mtu asiye mtumwa. Kwa mujibu…

Uingereza waanza dhambi ya ubaguzi

Siku chache zilizopita Waingereza wamepiga kura kujitoa katika Muungano wa Nchi za Ulaya (EU), na haikuchukua muda, thamani ya pauni ya Uingereza ikaporomoka na kufikia kiwango ambacho hakijawahi kushuhudiwa tangu mwaka 1985. Zaidi ya asilimia 52 ya waliopiga kura walipiga…

TFF mnapaswa kujitathmini

Wiki iliyopita, Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), ilitangaza kuufuta Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Soka Wilaya ya Kinondoni (KIFA) kwa kile wanachosema kuwa haukufuata utaratibu. Kamati hiyo ya TFF, iliyo chini ya Mwenyekiti Wakili Revocatus Kuul…

Kiama CCM

Sasa ni wazi kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kipo kwenye hatua za mwisho za kufumuliwa na kuundwa upya. Hatua hiyo itawezekana punde tu baada ya Rais John Magufuli, kupigiwa kura na Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM uliopangwa kufanyika Julai 23,…

Mawaziri wakikwepa kiwanda cha saruji

Wakazi wa kata za Boko na Bunju jijini Dar es Salaam ambao wamekilalamikia kiwanda cha Saruji cha Twiga Cement (Wazo) kwa kuharibu mazingira wamewalalamikia Mawaziri wa Wizara ya Muungano na Mazingira kwa kushindwa kuchukua hatua kwa kiwanda hicho. Pamoja na…