JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mwitikio huu ulipaji kodi unastahili kupongezwa

Wananchi wameitikia mwito wa ulipaji kodi kwa mujibu wa sheria. Kwa namna ya pekee, mamia kwa mamia ya wananchi wameonekana katika ofisi za Serikali za Mitaa na Ofisi za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) nchini kote wakiwa kwenye misururu kwa…

Vyombo vya umma vinasaidia umma?

Kama kuna nchi yoyote yenye vyombo vingi vya umma, basi nchi hiyo ni Tanzania. Shabaha ya vyombo vyote hivyo ni kumtumikia binadamu au kutumikia umma wa Tanzania. Lakini vyombo hivi vya umma vinasaidia umma? Na kama vinasaidia umma ni kwa…

Mzungu ‘mchochezi’ afanya mbinu arudi Loliondo

Raia wa Sweden, Susanna Nordlund, anayejulikana kwa uchochezi katika eneo la Pori Tengefu la Loliondo (LGCA), na Hifadhi ya Taifa ya Serengeti (SENAPA), anatumia mbinu aruhusiwe kuingia nchini. Susanna alifukuzwa nchini kwa ‘kupigwa PI’, mwaka 2010 lakini tangu wakati huo…

Wafanyakazi wa meli wampa ukweli KM

Sasa ni dhahiri kuwa MSCL haifahamiki vizuri. Kwa mshangao mkubwa wafanyakazi wa MSCL tumeona taarifa ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano alipohojiwa na Gazeti la JAMHURI wiki iliyopita akasema kuwa hakuna mali za MSCL zilizohamishiwa TPA,…

Ndugu Rais atawalaye kwa upanga atakufa kwa upanga

Ndugu Rais, kwa unyenyekevu mkubwa naomba nikutume upeleke salamu. Nikutume unipelekee salamu zangu kwa mwanamwema Kassim Majaliwa, jina lake la kati silijui.  Naujua sana ule wimbo wa ‘Njiwa peleka salamu’ lakini wewe si njiwa; nakutuma kwa sababu wewe ndiye baba…

Tusisahau historia hii (2)

Sehemu ya kwanza, mwandishi wa makala hii alisema katika mkutano wa Tabora mwaka 1958 wanachama wote wa TANU, mkutano mzima ule ulitaka UAMUZI wa KUSUSIA uchaguzi wa MSETO. Ni Mwalimu Nyerere peke yake aliyesimama kidete kwa utulivu (cool, methodical and…