JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Rais Magufuli mnusuru Mtanzania huyu

Hamis Wendo Mwinyipembe, mkazi wa Kijiji cha Gombero, Wilaya ya Mkinga, mkoani Tanga ni miongoni mwa wananchi wengi walioonja suluba ya kunyanyaswa na vyombo vya dola pengine kwa kukosa uelewa wa sheria ama kufanyiwa vitendo hivyo kwa makusudi na wahusika….

Ndugu Rais tufanyie nchi mapya!

Ndugu Rais, maandiko yanasema, nautamani mji mpya. Mji ule ambao chochote kinyonge hakitaingia. Nao utafanana na Yerusalem mpya. Nami naitamani nchi mpya. Nchi ambayo manyang’au na wanaofifisha haki za raia hawatakuwamo. Nayo ndiyo Tanzania mpya ninayoitamani! Hakuna mwingine kwa sasa,…

Vijana wetu wote ni wanasiasa

Kuna habari kwamba vijana 2,000 wa Baraza la Vijana la Chadema (BAVICHA) walikuwa wanafanya juu chini kuzuia Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma usifanyike. Hii ni baada ya vijana hao wa Bavicha kuona kwamba wakati mikutano ya siasa imepigwa marufuku kambi…

Tusisahau historia hii (3)

Sehemu ya pili ya makala hii, mwanishi alisema huko Ulaya kuna kasoro chungu nzima. Nchi zao katika Umoja wa Ulaya (EU) bado kuna mitazamo tofauti na ya kibinafsi na ndiyo sababu Uingereza imefanya kura ya maoni ya kujitoa katika Umoja…

Waziri Mkuu iokoe Loliondo

Aprili 2013, kupitia safu hii, niliandika makala ndefu iliyosema: “Bila kudhibiti NGOs, Loliondo haitatulia”. Makala hiyo ipo kwenye mitandao mbalimbali. Kuandika masuala ya Loliondo kunahitaji ujasiri. Mosi, lazima mwandishi akubali kutukanwa. Sharti awe tayari kutishiwa maisha kwa sababu maandiko yake…

Nia njema, gubiko la demokrasia nchini

Siasa ni itikadi inayofuatwa na kundi au jamii fulani ambayo ni msingi wa kuendesha uchumi, utamaduni na mwenendo mzima wa maisha ya jamii hiyo.  Demokrasia ni mfumo wa kuendesha Serikali iliyochaguliwa na watu kwa manufaa ya watu. Sheria ni kanuni…