JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

“TUEPUKE SUMU HIZI”

Watanzania, ni watu wa amani, ni watu tunaojaribu sana kuishi kindungu na tuwatulivu. Kwa maana hiyo, nchi yetu imejipatia sifa moja nzuri sana. Tanzania inaitwa kisiwa cha amani humu barani Afrika.  Ulimwengu unakiri hilo na tunastahili kujivunia hali hiyo. Nchi…

Uongozi wa Awamu ya Tano na hatima ya nchi yetu

Katika kijitabu chake kidogo “Tujisahihishe” alichokiandika Mei 1962, Baba wa Taifa, Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, aliwaonya viongozi na wananchi juu ya madhara ya ubinafsi kwa nchi changa kama Tanzania iliyodhamiria kuleta…

Yah: Mheshimiwa Rais, usiamini sana katika elimu, uongozi ni kipaji pia

Katika siku za hivi karibuni umekuwa ukifanya uteuzi kuziba nafasi nyingi za majipu ambayo umeyatumbua, kwa ufupi  umeifurahisha jamii ya walalahoi wengi walioteseka katika kipindi kirefu ndani ya nchi yao. Majipu mengi ambayo yalikuwa yakitegemea majipu makubwa yamewanyanyasa sana wananchi…

Wajibu wa Polisi usalama si woga

“Tekelezeni wajibu wenu bila ya woga. ( Makofi ) Katekelezeni wajibu wenu bila ya woga kwa kuzingatia sheria. ………Niwaombeni sana, vyeo vyetu tuviweke pembeni na sheria tusiweke pembeni. …….Mimi Rais wenu nipo pamoja na nyinyi.” Ni tamshi lenye upendo na…

VAT kwenye utalii: Ukweli na hasira

Nafanya kazi kwenye sekta ya utalii kwa muda sasa; kwenye utalii unaotambulika kama utalii wa utamaduni na ingawa kuna masuala mengi bado najifunza kuhusu sekta hii kwa ujumla, naamini nimejifunza vya kutosha kuweza kuchangia mawazo yangu juu ya uamuzi wa…

Uzalendo unatuumiza michezoni

Katika michezo ya Olimpiki iliyofanyika nchini Mexico katika Mji wa Mexico City mwaka 1968 Tanzania iliwakilishwa na mwanariadha aliyefahamika kwa jina la John Stephen Akhwari kwa upande wa mbio za marathon. Kwa wale wasiomfahamu huyu ni mwanamichezo hodari wa kipindi…