Latest Posts
MAJALIWA : UKIKUTWA NA MWANAFUNZI KICHOCHOLONI TUTAKUKAMATA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imedhamiria kuwalinda watoto wa kike na ndiyo maana tunawataka watoe taarifa za watu wanaotaka kuwakwamisha kimasomo kwa watendaji wa vijiji kwenye maeneo yao. Alitoa agizo hilo wakati akizungumza kwa nyakati tofauti na wakazi wa…
ESPANYOL YAISHUSHIA KIPIGO CHA BAO 1-0 DHIDI YA REAL MADRID
Real Madrid jana usiku mambo yao yamezidi kuwaendea kombo baada ya kuchezea kichapo cha bao 10 kutoka kwa Espanyol, kipigo hicho kinaifanya Real Madrid kupoeza jumla ya michezo mitano ya LaLiga msimu huu, goli pekee la Espanyol limefungwa na Gerard…
Kubadili jina la kampuni
NA BASHIR YAKUB Jina la kampuni linajulikana. Ni lile jina ambalo kampuni yako inatumia kama utambulisho wake. K & Company Ltd, Sote Company Ltd n.k. Jina hili laweza kubadilishwa wakati wowote baada ya kusajili kampuni. Sheria imeruhusu jambo hili na…
WIZARA ZAWEKA MKAKATI WA KUIMARISHA MUUNGANO
Wizara ya Maliasili na Utalii ya Tanzania Bara na Wizara ya Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi ya Zanzibar zimeweka mkakati wa pamoja wa kuimarisha ushirikiano wa usimamizi wa maliasili, malikale na kuendeleza utalii kwa maslahi ya pande zote za Muungano….
WASHIRIKA WA MAENDELEO WAAHIDI KUSHIRIKIANA KWA KARIBU ZAIDI NA TANZANIA KULETA MAENDELEO
Meza Kuu ikiongozwa na Mwenyekiti wa Mkutano kati ya Serikali na Washirika wa Maendeleo ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James (wa tatu kulia), kushoto kwake ni Mwenyekiti Mwenza na Mratibu wa Umoja…