JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Utumikishwaji: Bomu linalowalipukia watoto Dodoma

Na Zulfa Mfinanga, Dodoma Vitendo vya utumikishwaji wa watoto bado vinaendelea nchini licha ya kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi 193 zilizokubaliana juu ya ukomeshaji wa ajira kwao. Tanzania ni miongoni mwa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa (UN) waliosaini…

Mateso ni mwalimu katika maisha

“Bila mateso na kifo maisha ya binadamu hayawezi kukamilika.”-Viktor Frankl “Tunapewa baadhi ya mateso kwa ajili ya kutuadabisha na kutusahihisha kwa sababu ya namna yetu mbaya ya kuishi. Mateso mengine tunapewa si kwa ajili ya kutusahihisha makosa yetu ya zamani…

Wachezaji walioitendea haki jezi namba 10

DAR ES SALAAM NA MICHAEL SARUNGI Katika jambo la upigaji kura kutoka kwa mashabiki wote duniani lililofanywa na mtandao wa soka wa Sokaa Africa, Wayne Rooney aliibuka mshindi katika nafasi ya kwanza akiwa na kura 60 huku akifuatiwa na Ronaldinho…

Ndugu Rais siku ya kumuaga Akwilina ilikuwa nzito

Ndugu Rais, sijui niilaumu nafsi yangu au nimlaumu Mwenyezi Mungu aliyenifanya niishuhudie siku ya Alhamisi tarehe 22/2/2018 pale Chuo cha Usafirishaji, siku ambayo mwili wa Akwilina ulipokuwa unaagwa. Yaliyonigusa moyoni naapa hayatakuja kunitoka katika kifua changu siku zote zilizobakia katika…

Uchovu mara kwa mara – 2

Karibu tena msomaji wangu wa Safu hii ya Afya. Leo tutaendelea na mwendelezo wa mada yetu ya wiki iliyopita kama nilivokuahidi. Kwa kukukumbusha tu msomaji, wiki iliyopita nilieleza kuhusu sababu zilizo nyuma ya uchovu uliokithiri. Uchovu ambao mara nyingi huwa…

TFF itumie vyema fursa ya FIFA

DAR ES SALAAM NA MICHAEL SARUNGI Ujio wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), Gianni Infantino, hapa nchini unaweza kuwa na matokeo mazuri katika soka la nchi hii endapo viongozi watakuwa na utashi wa kutenda. Wakizungumza na…