Latest Posts
WIMBO WA “KIBA_100” WA ROMA WAMUINGIZA KITANZINI,
Serikali kupitia Wizara ya Habari, Sanaa na Utamaduni imemfungia msanii, Abednego Damian maarufu Roma Mkatoliki kutojihusisha na shughuli zozote za muziki kwa kipindi cha miezi sita kutokana na kukaidi kufanyia marekebisho wimbo wake wa ‘Kibamia’. “Huyu ndugu anayeitwa Roma Mkatoliki…
Wafaulu bila kujua kusoma wala kuandika
Na Alex Kazenga MVOMERO Wakati matokeo ya darasa la saba kwa mwaka jana nchini yakionesha ufaulu kuongezeka kwa asilimia 72.76 ikilinganishwa na 70.36 ya mwaka 2016, imebainika kuwapo waliofaulu bila kujua kusoma wala kuandika. Uwepo wa hali hiyo ya watoto…
Tusipoziba ufa, tutajenga ukuta…
NA ANGELA KIWIA Ni wiki moja sasa tangu nchi yetu ikumbwe na kilio cha kumpoteza mpendwa ndugu yetu, Akwilina Akwilini. Sitaki kabisa kukumbuka tukio hilo lililojaa simanzi na taharuki katika bongo zetu. Maisha ya Mtanzania sasa yanaanza kuogofya. Tunaishi kwenye…
Oliver Mtukudzi mwanamuziki mkongwe Afrika
Na Moshy Kiyungi Oliver Mtukudzi ni mwanamuziki mkongwe, anayevuma sana hata nje ya mipaka ya nchi yake ya Zimbabwe. Nyimbo zake zinazohamasisha amani na kutoa burudani barani Afrika, zimesababisha yeye kutumika kama alama katika taifa hilo hususan kwa upande wa…
Frostan yasalimu amri, yateketeza nyama mbovu
NA MICHAEL SARUNGI Hatimaye Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA), imeteketeza kilo 1,103.58 za nyama mbovu, mali ya kampuni ya Frostan Limited ya Dar es Salaam. Kuteketezwa kwa nyama hiyo kumefanyika Februari 21, mwaka huu, ikiwa ni baada ya JAMHURI…
Wafugaji wa sungura wa kisasa ‘walizwa’ Moshi Vijijini
Na Charles Ndagulla, Moshi Tegemeo la kutajirika kwa wakazi zaidi ya 20 katika halmashauri ya Wilaya ya Moshi Vijijini kupitia mradi wa ufugaji wa sungura wa kisasa, limetoweka baada ya kuachwa na wawezeshwaji wao, kampuni ya Rabbit Bilss Tanzania. Viongozi…