Latest Posts
TUME YA HAKI ZA BINADAMU YAINYOSHEA KIDOLE CCM
Ripoti ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) imekikosoa vikali Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa kutumia mtoto wakati wa kampeni za ubunge Jimbo la Kinondoni, pia matumizi ya rasilimali za umma (magari) katika kampeni za Siha.
RUFAA YA SUGU YAFIKA MAHAKAMA KUU MBEYA
Rufaa ya kupinga hukumu ya kifungo cha miezi mitano jela iliyotolewa kwa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga imewasilisha Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya. Mmoja wa mawakili…
SHILOLE AHUKUMIWA KULIPA MILIONI 14 NDANI YA WIKI MOJA
MSANII wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amehukumiwa kulipa faini ya Tsh. Milioni 14 na mahakama ya Mwanzo Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam baada ya kupatikana na hatia ya utapeli kusababisha hasara kwa kushindwa kufika kwenye shoo. Katika…
WIMBO WA “KIBA_100” WA ROMA WAMUINGIZA KITANZINI,
Serikali kupitia Wizara ya Habari, Sanaa na Utamaduni imemfungia msanii, Abednego Damian maarufu Roma Mkatoliki kutojihusisha na shughuli zozote za muziki kwa kipindi cha miezi sita kutokana na kukaidi kufanyia marekebisho wimbo wake wa ‘Kibamia’. “Huyu ndugu anayeitwa Roma Mkatoliki…
Wafaulu bila kujua kusoma wala kuandika
Na Alex Kazenga MVOMERO Wakati matokeo ya darasa la saba kwa mwaka jana nchini yakionesha ufaulu kuongezeka kwa asilimia 72.76 ikilinganishwa na 70.36 ya mwaka 2016, imebainika kuwapo waliofaulu bila kujua kusoma wala kuandika. Uwepo wa hali hiyo ya watoto…