JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

LAS PALMAS YAIDINDIA BARCELONA, YATOKA NAYO SARE YA 1-1

Barcelona imebanwa mbavu katika harakati zake za kuendelea kujivunia alama za kukalia kilele cha msimamo wa Ligi Kuu Spain, baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Las palmas. Barcelona ambao walikuwa ugenini, walianza kupata bao la kwanza kwa…

MANCHESTER CITY BINGWA KWA ASILIMIA 99.9, YAIPIGA TENA ARSENAL MABAO 3-0

Klabu ya Arsenal ikiwa katika Uwanja wake wa nyumbani, imekubali tena kichapo cha mabao 3-0 dhidi ya Manchester City katika mchezo wa ligi. Arsenal iliingia na kumbuku za kupoteza mchezo uliopita kwa kufungwa idadi ya mabao yaleyale, huku matarajio ya…

ERIC OMONDI AOMBA RADHI KWA VIDEO YAKE YA UTUPU

Mchekeshaji maarufu Afrika Mashariki kutoka Kenya Eric Omondi amejipata taabani kutokana na video yake iliyosambaa mtandaoni ambapo anaonekana akicheza na watoto mtoni, wote wakiwa utupu. Video hiyo ambayo inadaiwa kupigiwa katika mto mmoja eneo la Lodwar katika jimbo la Turkana,…

WAFANYABIASHARA WAKUBWA WAKERWA NA RAIS DOLD TRUMP

Washirika wakubwa wa biashara wa Marekani wamekasirishwa na tangazo la Rais wa nchi hiyo Donald Trump juu ya mpango wa kutoza ushuru kwa bidhaa za chuma na aluminiam zinazoingizwa. Umoja wa Ulaya na Canada kwa pamoja zimesema zitafanyia kazi uamuzi…

Benki ya NMB yazindua tawi jipya Kigamboni

Mkurungezi Mtendaji wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (kulia) akizungumza kwenye hafla  ya uzinduzi huo. Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Hashim Mgandilwa (wa tatu kushoto) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Tawi jipya la Benki ya NMB Wilaya ya Kigamboni….