Latest Posts
TANGA UWASA ,JUIN COMPAY LIMITED WAINGIA MKATABA MAKUBALIANO KUTEKELEZA MRADI WA MAJI WILAYANI LUSHOTO
Tanga Uwasa Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Aram Phares kushoto akisaini mkataba wa kutekeleza mradi wa Maji wilayani Lushoto na Mkandarasi wa mradi huo Justice Kato kutoka kampuni ya…
UHABA MADARASA WASABABISHA WANAFUNZI 346 KIDATO CHA KWANZA KUSHINDWA KURIPOTI SHULE WILAYANI KAKONKO
JUMLA ya wanafunzi 346 wa kidato cha kwanza wilayani Kakonko mkoani Kigoma,wameshindwa kuripoti shuleni kutokana na shule walizopangiwa kuwa na uhaba wa vyumba vya madarasa. Hali iliyo walazimu viongozi wa Wilaya kwa kushirikiana na wananchi kujenga vyumba viwili kwa kila…
ZITTO KABWE APATA PIGO WANACHAMA WAKE ACT-WAZALENDO WAAMIA CCM
VIONGOZI kadhaa wa chama cha ACT Wazalendo na wanachama wao wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Ijumaa, Machi 2, 2018. Akizungumza na wanahabari jijini Dar wakati wa kutoa maamuzi hayo, Katibu wa ACT Wazalendo…
LAS PALMAS YAIDINDIA BARCELONA, YATOKA NAYO SARE YA 1-1
Barcelona imebanwa mbavu katika harakati zake za kuendelea kujivunia alama za kukalia kilele cha msimamo wa Ligi Kuu Spain, baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Las palmas. Barcelona ambao walikuwa ugenini, walianza kupata bao la kwanza kwa…
MANCHESTER CITY BINGWA KWA ASILIMIA 99.9, YAIPIGA TENA ARSENAL MABAO 3-0
Klabu ya Arsenal ikiwa katika Uwanja wake wa nyumbani, imekubali tena kichapo cha mabao 3-0 dhidi ya Manchester City katika mchezo wa ligi. Arsenal iliingia na kumbuku za kupoteza mchezo uliopita kwa kufungwa idadi ya mabao yaleyale, huku matarajio ya…