JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Majonzi Bukoba

Tetemeko la ardhi lililotokea wiki iliyopita Mkoani Kagera, limeacha vilio na simanzi kubwa, huku baadhi ya familia zikiwapoteza wapendwa wao, uharibifu wa mali na wengine wakiachwa na ulemavu wa kudumu. Mpaka sasa, hofu bado imetenda. Kama wanavyosema kwa aliyeng’atwa na…

RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 13

Uhamiaji, mahakimu rushwa tu Mianya ya rushwa 282.  Mianya ya rushwa katika Idara ya Uhamiaji inatokana na baadhi ya vifungu vilivyomo katika Sheria ya Uhamiaji. Lakini sehemu kubwa ya mianya ya rushwa ni matokeo ya usimamizi wa kazi usioridhisha wa…

Mwekezaji kiwanda cha sukari apigwa danadana

Ndoto ya Tanzania ya viwanda inaonekana kuanza kuyeyuka kutokana na mwekezaji kusota kwa miaka kumi akihangaika kupata vibali ili awekeze katika ujenzi wa kiwanda cha sukari, Bagamoyo, mkoani Pwani. Uchunguzi uliofanywa na JAMHURI umebaini kuwa kampuni ya EcoEnergy ni kutoka…

JWTZ yasema utekaji si kisasi

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema utekwaji madereva wa Kitanzania uliofanywa na kikundi cha waasi cha MaiMai nchini Congo  hauna uhusiano wowote na uwepo wa askari wa jeshi hilo nchini humo. Akizungumza na JAMHURI, msemaji wa Jeshi…

Hivi tumerogwa na nani?

Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazosifika kwa kuwa na umoja na amani, tofauti na nchi nyingi katika Bara la Afrika na dunia kwa ujumla. Nchi yetu imekuwa na amani kiasi cha Watanzania kuchoshwa na amani hii inayoliliwa na wenzetu hadi kuanza…

Wastaafu UDSM waendelea kusotea mafao

Wastaafu 638 wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM), wanaoidai Serikali zaidi ya Sh bilioni 23 za mapunjo ya mafao yao kwa zaidi ya miaka 20 wamemwomba Rais John Pombe Magufuli kufuatilia madai hayo. Watumishi hao waliostaafishwa kazi mwaka…