Latest Posts
RIPOTI MAALUM YABAINI KIKUNDI CHA ADF KILIHUSIKA NA MAUAJI YA ASKARI WA TANZANIA NCHINI DRC RC
Kikundi cha waasi wa Alliance of Democratic Forces (ADF) kimetajwa na ripoti maalum ya uchunguzi uliofanywa na Umoja wa Mataifa kuwa kilihusika na mauaji ya askari wa Tanzania nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa…
Hakuna Wakuwazuia Tena Manchester City Kubeba Kombe
Klabu ya Manchester city jana Jumapili wakiwa uwanja wao wa nyumbani wa Etihad walifanikiwa kuchomoza na ushidi wa bao 1-0 dhidi ya Chelsea bao lilifungwa na Bernardo Silva Dakika ya 46 kipindi cha pili cha mchezo. Ushindi huo Manchester City…
Manowari ya Marekani yatia nanga Vietnam
Mamowari ya Marekani Carl Vinson inafanya ziara ya kihistoria nchini Vietnam kwa mara ya kwanza kwa meli ya aina hiyo kuzuru Vietnam tangu vita kumazilika. Manowari hiyo inayotumia nishati ya nyuklia itatia nanga katika bandari wa Danang ambapo wanajeshi wa…
MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA AIKOMALIA CHADEMA, AITAKA KUJIELEZA KWANINI ASIKICHULIE HATUA
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi kwa mara nyingine ametoa siku tano kwa Chadema kujieleza kwa nini asikichukulie hatua kwa kukiuka sheria na kanuni za maadili ya vyama vya siasa. Katika barua hiyo ya Jaji Mutungi ya…
SERIKALI YAJIBU BARUA ILIYOKUWA INASAMBAA MTANDAONI INAYOMUHUSU DK KIGWANGALA
Mkurugenzi wa Mawasilano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa amekanusha taarifa nayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikieleza kuwa Rais Dkt Magufuli ametengua uteuzi wa Waziri wa Maliasili na Utalii, Dr. Hamis Kigwangalla Msigwa amewataka wananchi kuipuuza taarifa hiyo kwani ni upuuzi….
Kenya Yaipoteza Vibaya Tanzania Kili Marathon 2018
Leo Jumapili Machi, 4 2018 yamefanyika mashindano ya riadha mkoani Kilimanjaro ambayo ni maarufu kwa Kili Marathon ambayo hufanyika kila mwaka. Mashindano haya hushirikisha watu kutoka mataifa mbalimbali, ambapo wale wote ambao hufanya vizuri hupewa zawadi, wakati wengine hupewa medali…