JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

WANANCHI WA PUGU WA MPONGEZA MEYA MWITA KWA KUWAPATIA MAJI SAFI NA SALAMA

Wananchi wa Pugu wa mpongeza Meya Mwita kwa kuwapatia maji safi na salama. WANANCHI wa Kata ya Pugu, Mtaa wa Mustafa, wamempongeza Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita kwa kuwapelekea maji safi na salama huku wakibainishiwa…

VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE IMEANZA KATI YA TAHLISO NA TSNP

Mwenyekiti wa mtandao wa wanafunzi wa Tanzania (TSNP), Abdul Nondo, akiongea na waandishi wa habari leo. Ndugu waandishi wa habari, leo tunapenda kutoa ufafanuzi kidogo juu ya tuhuma zilizotolewa na TAHLISO dhidi ya TSNP mnamo tarehe 3/3/2028. Taasisi yetu ni…

MAGAZETI MATATU LIKIWEMO LA TANZANITE YAPEWA ONYO KALI NA SERIKALI

Serikali kupitia kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO imetoa onyo kwa magazeti matatu nchini kutokana na kile ilichoeleza kuwa ni kukiukwa kwa maadili ya uandishi wa habari. Hayo yalisemwa jana na Dkt Hassan Abbas ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa…

KCMC MOSHI: AFYA YA MBOWE IKO FITI NA SASA AMERUHUSIWA KUTOKA HOSPITAL

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya KCMC mkoani Kilimanjaro, akisumbuliwa na maumivu makali ya kichwa, ameruhusiwa kutoka baada ya madaktari kujiridhisha na afya yake iliyorejea katika hali ya kawaida.  

MANCHESTER UNITED YAIADHIBU CRYSTAL PALCE KWA MBINDE

Manchester United imerudi kwenye nafasi yake ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu Uingereza baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Crystal Palace. Mchezo huo ambao ulikuwa na matokeo hasi kwa Manchester United katika kipindi cha kwanza,…