JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Magufuli ajiita Sizonje

Umewahi kukaa na kutafakari mashairi ya wimbo wa Mrisho Mpoto uitwao Sizonje? Umewahi kuhisi anayeimbwa katika mashairi ya wimbo huo ni nani?  JAMHURI imegundua kwamba Sizonje ni Rais John Magufuli, huku akikiri kwa kinywa chake, mbele ya wahariri pamoja na…

Malipo Polisi utata

Ikiwa ni miezi mitatu tangu Mhasibu Mkuu wa Jeshi la Polisi, Frank Msaki, asimamishwe kazi kutokana na tuhuma za kufanya malipo hewa ya posho za chakula kwa askari, JAMHURI imebaini yaliyojificha nyuma ya sakata hilo. Tuhuma hizo zilimsukuma Rais, Dk….

RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 16

Mahakimu wanadharau majaji   344. Tume inapandekeza kwamba: i)      Mamlaka ya Mahakama ihakikishe kwamba juzuu za sheria zinapelekwa katika Mahakama zote, hasa za mahakimu, zikiwa zimefanyiwa marekebisho yote yaliyofanywa na Bunge. ii)     Utaratibu wa kutoa vitabu vyenye…

Polisi Dar lawamani

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limeshiriki katika kuingia kwa mabavu katika eneo la biashara la kampuni ya uuzaji mafuta ya Petrofuel (T) Limited na Isa Limited, hali ambayo ni kinyume cha utaratibu. Askari Polisi, waliotumika kuingia…

Chuo Kikuu Huria kwafukuta

Mhadhiri wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Dk.Hamza Kondo amesimamishwa kazi ya uhadhiri katika mazingira ambayo ameyataja kujaa utata na ukiukwaji wa taratibu za utumishi. Akizungumza na JAMHURI, Dk. Kondo ambaye amekuwa mhadhiri katika kitivo cha Sanaa na Sayansi za…

Kiwanda cha Polyester chawaliza wafanyakazi

Waliokuwa wafanyakazi wa kiwanda cha nguo cha Morogoro Polyester Textile cha mjini Morogoro, wameiomba Serikali kuingilia kati ili waweze kulipwa madai yao baada ya kuachishwa kazi miaka 18 iliyopita. Akizungumza na JAMHURI, Laurian Kazimilli, Mwenyekiti wa wastaafu hao, anasema miaka 18…