JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Polisi ‘mwizi wa magari’ afukuzwa kazi

Jeshi la Polisi limemfukuza kazi askari wake, PC Hamad Mud wa Kituo cha Polisi Sanya Juu, Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, akitajwa kuwa kinara wa mtandao wa wizi wa magari. Kwa uamuzi huo, Mud anasakwa ndani na nje ya nchi…

Sheria imepita, upotoshaji umetawala

Wiki iliyopita hatimaye Serikali imehitimisha safari ya miaka 23 ya mchakato wa kutunga Sheria ya Huduma za Habari (MSB). Sheria hii inajihuisha zaidi na utendaji wa vyombo vya habari na wanahabari. Mchakato huu ulianza rasmi mwaka 1993 na umehitimishwa mwaka…

Tathmini ya mwaka mmoja wa Rais Magufuli

Ni vizuri watu wakutathmini kuliko kujitathmini mwenyewe, lakini ninaloweza kusema ni kwamba kesho ndiyo natimiza mwaka mmoja tangu niwe Rais. Ninamshukuru Mungu kwamba tumeutimiza huo mwaka, lakini pia nawashukuru Watanzania kwa sababu ndani ya ushirikiano wao wa pamoja nchi yetu…

Ndugu Rais umesema tukuamini tumekusikia, tunakuamini

Ndugu Rais ulipoongea na wahariri wa vyombo vya habari ulisema mengi na mengi mengine uliyafafanua vizuri. Nia yako njema kwa nchi hii ilionekana dhahiri. Ukasema tukuamini! Tumekusikia, tumekuamini! Umefanya vema kuwajibu watu wako wema wanaouliza kila siku kutaka kujua kama…

Uchaguzi Marekani hautabiriki

Huku siku za kampeni nchini Marekani zikiwa zimekwisha, ushindani mkali unaonekana kati ya Hillary Clinton wa Democratic na Donald Trump wa Republican, hali inayoashiria ugumu katika uchaguzi huo. Wagombea hao – Hillary Clinton na Donald Trump – wamefanya mikutano sambamba…

Wamarekani wengi hawaoni tofauti kati ya Trump na Clinton

Wakati naandika haya, huko Marekani kampeni ya kugombea urais imepamba moto. Hakuna anayeweza kutabiri kwa hakika ni nani atakayeshinda kati ya wagombea wakuu wawili- Donald Trump na Hillary Clinton. Inawezekana baada ya uchaguzi kufanyika Novemba 8 matokeo yakajulikana.  Kwa muda…