Latest Posts
Mwalimu Kambarage pumzika kwa amani
Oktoba 14, mwaka huu imeangukia siku ya Bwana, yaani Dominika – Jumapili. Imekuwa sasa ni kawaida kwa kila mwaka siku hii Tanzania tuna mapumziko ya kitaifa kumuenzi Baba wa Taifa. Karibu kila gazeti hutoa toleo maalumu la kumbukumbu ya Baba…
Ndugu Rais hakuna makali yasiyo na ncha
Ndugu Rais nimesema mara zote, ‘nchi yangu kwanza’. Hii ndiyo imani yangu ya jana, leo na siku zote. Nitaililia nchi yangu kwa nguvu zangu zote na kuwalilia maskini wa nchi hii bila kuchoka, ndiyo, nitajililia na mimi mwenyewe mpaka siku…
ADARSH NAYAR: Mpigapicha wa Mwalimu
“Nakumbuka nilikuwa mtoto mdogo, nikiwa na miaka zaidi ya 10 hivi, ikatokea siku moja miaka ya 1959 – kabla ya Uhuru, pale kwenye kiwanja cha Dar Brotherhood nikasikia kuna mtu akihutubia. “Nikasogea na kukuta ana kina Kenneth Kaunda pamoja na…
Falsafa na uhai wa taifa, miaka 19 baada ya kifo cha Mwalimu Julius Nyerere (1)
Baada ya kifo cha hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, tangu Oktoba 14, 1999, mshairi mmoja aliandika hivi: “Hatutamwona mwingine kama Nyerere.” Ni kweli taifa letu halitampata Nyerere mwingine, kwa sababu unapomlinganisha Mwalimu Nyerere na watawala wengine waliokalia…
Ni kama tunasema ‘Mwalimu Nyerere kafe na Mwenge wako’
Nilipozuru Cuba, nilistaajabu kukutana na mambo ambayo sikuyafikiria kabla. Niliposoma habari za Fidel Castro kwenye vyombo vya Magharibi, niliijiwa na picha ya mtu katili, muuaji, mpenda kusifiwa na mjivuni. Nilipofika Havana, nilistaajabu kutoyaona hayo mambo. Sikuona utitiri wa picha za…
Yah: Tunamuadhimisha Mwalimu Nyerere kwa Tanzania hii?
Majuzi tulikuwa tunakumbuka kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, tulikuwa na kumbukizi ya mambo mengi sana juu ya nchi yetu na falsafa yake ya ujamaa na kujitegemea, falsafa ya uhuru ni kazi na haki ya kila raia katika nchi hii,…