JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

IGP Sirro usitishe wakosoaji, safisha Polisi

Nimesikiliza kauli ya Inspekta Jenerali wa Polisi, Simon Sirro, kuhusu kupatikana kwa Mo Dewji. IGP Sirro amesema pamoja na mengi mengine kwamba wanaotafuta uadui na Jeshi la Polisi wasije wakalaumu litakapowatokea la kutokea. Kwake yeye, kukosoa utendaji wa Jeshi la…

Mauaji yakimbiza ajuza, vikongwe

Baadhi ya watu, wakiwamo ajuza na vikongwe katika vijiji vya Kongolo na Shilingwa, Wilaya ya Magu mkoani Mwanza wamekimbia makazi yao wakihofu kuuawa. Miongoni mwa waliokimbia ni Sophia Pondi (54) aliyevamiwa nyumbani kisha wavamizi hao kumpigilia msumari tumboni. Wakazi wa…

IGP Sirro: Kuna urasimu mkubwa umiliki wa silaha

Mkuu wa Jeshi la Polisi, Inspekta Jenerali (IGP) Simon Sirro, ametoa mwito kwa wananchi wenye kustahili kuwa na silaha kuomba wamilikishwe ili wajilinde dhidi ya wahalifu. IGP Sirro alitoa kauli hiyo alipozungumza na waandishi wa habari, ambapo pamoja na mambo…

Viongozi wa dini fichueni waovu – RC Mghwira

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira, amewataka viongozi wa dini kuwafichua walioua viwanda vilivyokuwa mhimili wa uchumi wa mkoa huo pamoja na viongozi waliohusika kufilisi mali za vyama vya msingi na ushirika. Mghwira ameyasema hayo wakati akizindua kamati ya maridhiano…

Mwandishi auawa ubalozini

Mwanahabari, Jamal Khashoggi, aliuawa katika vita katika Ubalozi mdogo wa Saudia mjini Istanbul, runinga ya taifa hilo imesema ikinukuu uchunguzi wa awali. Naibu Ofisa Mkuu wa Idara ya Ujasusi, Ahmad al-Assiri na Mshauri Mkuu wa Mwanamfalme Mohammed Bin Salma Saud…

Wanaume washirikishwe uzazi wa mpango

Tofauti na ilivyokuwa miaka ya nyuma, utoaji wa mimba zisizopangwa na uzazi usiofuata kanuni za uzazi wa mpango umepungua kwa kiasi kikubwa kutokana na matumizi ya njia za uzazi wa mpango. Matumizi hayo ya njia za uzazi wa mpango yameleta…