JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Ajali yateketeza kikosi

Wiki iliyopita familia ya soka duniani imepata pigo, baada ajali ya ndege  iliyosababisha vifo vya watu 81, wakiwamo wachezaji wa klabu ya Chopecoense ya nchini Brazil na kuacha simanzi kubwa Ndege iliyokuwa imebeba timu ya soka ya Brazil ilianguka wakati…

Prof. Ndalichako amvaa Makonda

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ameingia katika mapambano ya wazi na Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako kwa kumpa maagizo, ambayo ameyakataa. Makonda amemwagiza Waziri Prof. Ndalichako asiwasikilize wazazi wa wanafunzi wanaosoma…

RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 23

Kaula, Dk. Mlingwa, rushwa ‘iliwapofusha’   Zabuni hizo zilipokelewa na kufunguliwa katika ofisi za Halmashauri Kuu ya Zabuni tarehe 26 Juni, 1991 na baadaye kukabidhiwa Wizara ya Ujenzi kwa uchambuzi na tathmini. Zabuni zilifanyiwa uchambuzi na tathmini na wahandisi wa…

Unyayasaji kingono washika kasi Kilimanjaro

Matukio ya watoto  kunyanyaswa kingono katika mji wa Moshi, yameibuka kwa kasi ya kutisha  na kutishia usalama wa watoto, huku wengi wao wakiwa ni wanafunzi wa shule za msingi. Udhalilishaji huo unatokea huku wazazi wakitupiwa lawama kwa kushindwa kutoa ushirikiano…

Uchumi unakuwa kwa matabaka

Wakati Rais John Magufuli akieleza kuwa uchumi wa nchi umekuwa kwa asilimia 7.9 hadi kufikia robo ya mwaka huu na kuifanya Tanzania kushika nafasi ya pili baada ya Ivory Coast, Mchumi Mwandamizi na Mhadhiri wa Uchumi wa Chuo Kikuu cha…

Serikali izifuatilie shule binafsi

Habari kuu tuliyoichapisha katika toleo la leo inahusu mgogoro kati ya wazazi na wamiliki wa shule za Al-Muntazir. Shule hizi ambazo ni za awali, msingi na sekondari zinamilikiwa na Khoja Shia Ithnasheri Jamaat ya Dar es Salaam. Shule hizi zimejiwekea…