Latest Posts
Mkasa wa 2Pac Shakur Malaysia (2)
Tupac alilelewa katika mazingira magumu, jamii yake ilimpatia jina la ‘Black Prince’ kwa kuwa mama yake alimpenda mtoto wake. Tupac alikulia katika mazingira ya ‘kitemi’ kutokana na kushindwa kupata malezi bora, huku mama yake akishindwa kuwa karibu ili kumlea mtoto wake,…
Henry aizamisha Monaco?
Nahodha wa zamani wa Klabu ya Arsenal na mchezaji wa klabu za Juventus, Barcelona, Red Bulls ya New York pamoja na timu ya taifa ya Ufaransa, Thierry Henry, ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa Klabu ya AS Monaco inayoshiriki Ligi Kuu…
Microchip ya Mo
Watu waliomteka Mohammed Dewji, maarufu kama Mo, walidhani hawatafahamika ila inaonekana walikosea kusuka mpango wao wa utekaji na sasa mambo yameanza kuwatumbukia nyongo, JAMHURI limefahamu. Vyanzo vya habari kutoka Uingereza, Afrika Kusini, Marekani na hapa nchini vimeliambia JAMHURI baada ya…
Rashid Malima sasa yametimia
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imetangaza kumsaka aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kukuza Maendeleo Vijijini (PRIDE Tanzania), Rashid Malima. Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, John Mbungo, amesema Malima (65), anakabiliwa na tuhuma za kuchota Sh bilioni…
Mtishia maisha vikongwe akamatwa Magu
Mkuu wa Wilaya (DC) ya Magu mkoani Mwanza, Dk. Philemon Sengati, ameamuru kukamatwa kwa mkazi wa Kijiji cha Shilingwa, Julius Makolobela, anayetuhumiwa kuwatishia maisha wananchi katika eneo hilo. Uamuzi wa DC Sengati umekuja siku moja baada ya Gazeti la JAMHURI…
Tanzania inaelekea wapi?
Serikali ya Awamu ya Kwanza chini ya uongozi wa Baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, ilifanya kazi kubwa ya kutuunganisha Watanzania ambao tunaishi kama ndugu bila chembe yoyote ya ubaguzi. Maisha yetu ya kupendana, kuthaminiana na kuheshimiana bila…