JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Je, maumivu ya titi ni saratani?

Nakukumbusha tu msomaji wa safu hii kuwa mwezi Oktoba huadhimishwa kwa kuinua uelewa kuhusu saratani ya titi. Hii ni kutokana na kalenda ya magonjwa ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya afya (WHO) kwa lengo la si tu kuinua…

Ndugu Rais tunyooshe kwa upendo, tutanyooka tu

Ndugu Rais, watu wako wamekusikia vema kwa yote uliyoyasema Novemba Mosi, 2018 katika kongamano la siasa na uchumi lililofanyika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika ukumbi wa Nkrumah. Wamekusikiliza tangu ulivyoanza mpaka ulivyomaliza. Sitaki nikufananishe na mtu yeyote, lakini…

Wanangu tunahitaji ushindi – Lesotho

“Wanangu nendeni mkashinde, nendeni mkapeperushe vizuri bendera ya Tanzania, lengo letu iwe ni kushinda tu.” Ni nasaha iliyotolewa na Rais Dk. John Magufuli alipokutana na kuzungumza na wachezaji wa Taifa Stars wiki mbili zilizopita Ikulu, jijini Dar es Salaam.  Ni…

Yah: Hiki ni kizazi gani na tunaelekea wapi?

Kuna wakati huwa najiuliza, ni wapi ambapo tulikosea hii nchi yetu? Nchi iliyokuwa ya asali na maziwa katika uzalendo, maadili, uaminifu, utamaduni, mapenzi, upendo na mengineyo mengi tu. Najiuliza tuko wapi tulio hai mpaka leo na tunaojua ukweli wa asili…

Mkopaji kumfidia mdhamini wake mali ya mdhamini inapouzwa

Ni kawaida mali za wadhamini kuuzwa pale ambapo wale waliowadhamini wanaposhindwa kurejesha mikopo. Huwa inauma kwa sababu wakati mwingine mdhamini hakufaidika na mkopo, ila tu aliamua kumsaidia ndugu, rafiki, jamaa ili akope, asonge mbele, ila baadaye inakuja kuwa hivyo. Suala…

Kwenye msafara wa mamba, kenge wamo

Nawasifu sana wanaharakati kote duniani, ambao wanashikilia suala moja na kulipigania bila woga, bila kujali yatakayowakuta. Uanaharakati upo wa aina nyingi. Mtu yeyote anaweza kuwa mwanaharakati. Unaingia kwenye kundi hilo iwapo unajaribu kushawishi mabadiliko ndani ya jamii kwa madhumuni ya…