JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

WENGER AWATULIZA MASHABIKI WA ARSENAL, AIBABUA AC MILLAN 3-1

Baada ya Arsenal jana kuitandika AC Millan, kwa mabao 3-, uwenda mashabiki wa Arsenal wanaweza kutuliza mzuka wa kumlazimisha Mzee wenga kung’atuka kwenye timu ya Arsenal. Mabao ya Arsenal yalifungwa na Danny Welbeck ambaye alifunga magoli mawili na goli la…

MAGAZETI YA IJUMAA LEO MARCH 16,2018

                                               

Yah: Maendeleo yapatikana kwa kujifananisha na walioendelea

Nimeamka nikiwa na afya njema kabisa leo. Nimeamka nikiwa nina akisi maisha halisi na yale ya baadhi ya watu ya kuigiza. Nimeamka nikiangalia maisha halisi ya kujitegemea kwa kilimo na ufugaji na maisha halisi ya kutegemea siasa. Nimeanza kuona uhalisia…

KING MAJUTO ANAUMWA

Na Moshy Kiyungi, Tabora Imekuwa kawaida kuandika historia ya mtu pindi anapofariki. Katika makala hii namuangazia mwigizaji mkongwe wa Filamu na vichekesho Tanzania, Amri Athuman maarufu kama King Majuto. Mchekeshaji Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ amelazwa katika Hospitali ya Muhimbili jijini Dar…

Serikali: Jengeni nyumba za kupangisha Dodoma

DODOMA NA EDITHA MAJURA Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mwasiliano, Elias Kuandikwa, ametoa wito kwa wenye uwezo wa kujenga nyumba za kupangisha, kufanya hivyo mkoani Dodoma ili kusaidiana na serikali katika kuwapatia  makazi bora, wanaohamia kutokana na utekelezaji hatua ya…

Amlawiti binti, mahakamani majaliwa

DODOMA EDITHA MAJURA Mwanafunzi wa Darasa la Nne, anayesoma shule iliyopo Kata ya Nzuguni, (majina yanahifadhiwa kimaadili) amekuwa akilawitiwa na mwendesha pikipiki, maarufu kama bodaboda tangu mwishoni mwa mwaka jana hadi mwaka huu, uchunguzi wa JAMHURI umebaini. Taarifa hizi zinaibuka…