JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Ushindani wa Yanga, Simba haupo CCM, jiepusheni na makundi ndani ya chama – Dk Tulia

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha SPIKA wa Bunge na Rais wa 31 wa Muungano wa Mabunge Duniani IPU ,Dkt. Tulia Ackson, amewataka wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kibaha Mjini, mkoani Pwani, kuacha ushindani na makundi ndani ya chama, ambao…

Kesi ya Lissu; wananchi wana haki ya kujua kinachoendelea

Na Mwandishi wetu–Jamhuri MediaDar es salaam Naibu katibu Mkuu bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Amani Golugwa, amesema kuwa kesi inayomkabili Tundu Lissu haiwezi kuchukuliwa kama vita dhidi ya wananchi, na akasisitiza kuwa wanachama pamoja na umma wana…

Maambukizi ya Malaria yapungua kwa asilimia 45

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Dunia ikiwa inaadhimisha siku ya Malaria, nchini Tanzania takwimu zinaonesha kiwango cha maambukizi ya ugonjwa wa Malaria kimepungua kwa takribani asilimia 45 kutoka asilimia 14.8 mwaka 2015 hadi kufikia asilimia 8.1 mwaka 2022. Takwimu hizo zinaonesha Mkoa…

Bilioni 36/- kunufaisha wakulima 5,000 kwa umwagiliaji Nzega

📍NIRC:Nzega, Tabora Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) imekabidhi awamu ya tatu ya utekelezaji wa Mradi wa Umwagiliaji wa Skimu ya Idudumo, wenye thamani ya zaidi ya Sh. bilioni 36, kwa Mkandarasi Kampuni ya Mkwawa Logistics and Construction Limited. Mradi…

Serikali kuendelea kuwekeza katika sekta ya afya -Dkt Biteko

📌 Dkt. Biteko atambelea Hospitali ya Wilaya ya Meru Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Serikali imeahidi kuendelea kuboresha huduma za Afya nchini katika ngazi zote ili kuboresha huduma za Afya kwa Watanzania. Hayo yamesemwa Aprili,…

THRDC: Kuna umuhimu wa kukubaliana mambo ya msingi kabla ya Uchaguzi Mkuu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umesema kuna umuhimu wa kukaa kwenye muafaka wa kitaifa na kukubaliana mambo ya msingi kabla ya kwenda kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu….