Latest Posts
Namuomba Rais wetu atafakari ‘huruma’ aliyowapa wamachinga
Hakuna shaka kwamba Serikali ya Awamu ya Tano chini ya uongozi wa Rais John Magufuli imefanya mambo mengi mazuri katika kipindi hiki cha miaka mitatu. Yapo pia mengine ambayo anakosolewa, na baadhi ya watu wanasema laiti kama angeyatenda kwa kadiri…
Ahadi ni ukweli na maendeleo
Nitatumikia nchi yangu na watu wake wote. Nitajielimisha kwa kadiri ya uwezo wangu na kutumia elimu yangu kwa faida ya wote. Nitasema ukweli daima, fitina kwangu mwiko. Hizi ni ahadi tatu kati ya kumi za mwanachama wa TANU. Ukizitazama kwa…
Kampeni za Makonda na chenga ya Dk. Mahiga
Kampeni ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, za kusaka watu ambao wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja imeibua mjadala mkali wa sheria, tabia, na tafsiri ya vyote viwili. Sheria iko wazi: Ni kosa la jinai kujihusisha…
Kufidiwa hasara
Mtu anaweza kukusababishia hasara katika namna nyingi na katika mazingira tofauti. Mathalani, mtu anaweza kukwangua gari lako, unaweza kumpa mtu kifaa kama pikipiki alete hesabu, badala yake si tu ukashindwa kupata pesa, bali pia na hicho kifaa akaharibu. Mwingine anaweza…
Sanchez anatia huruma
Mshambuliaji wa Klabu ya Manchester United ya Uingereza raia wa Chile, Alexis Sanchez, mwenye umri wa miaka 29, anatajwa kutaka kuachana na klabu hiyo ikiwa ni chini ya mwaka mmoja tu tangu ajiunge nayo akitokea Klabu ya Arsenal. Septemba mwaka…
Benki yaibia wateja
Maofisa wa Bank of Africa (BOA) jijini Dar es Salaam wanadaiwa kughushi hati ya ardhi Na. 55709, Kitalu ‘C’, Ukonga Stakishari ya Jimmy Mwalugelo (68), mkazi wa eneo hilo na kuitumia kumkopesha mtu mwingine Sh milioni 500. Hati hiyo iliyoghushiwa…