JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Ndugu Rais tulibipu tukaingia, na sasa tunabipu kutoka

Ndugu Rais, kila anayebipu huwa hajajipanga cha kusema mpaka atakapopigiwa. Kama uliibipu Ikulu ulikuwa hujajipanga nini cha kuifanyia Ikulu endapo ungeipata. Hivyo, busara baada ya kuipata Ikulu ilikuwa ni kutulia.  Kujinyenyekesha kwa Muumba wako, hakika naye angekupa haja ya moyo…

Adha ya ‘Double allocation’ (3)

H adithi hii ya kale inaonesha mambo mawili muhimu kwanza kusikiliza pande zote mbili za kesi papo hapo wote wakiwa hapo, na pili kutoa uamuzi kwa kutumia hekima na busara. Hapakuwa na kitu kama mention wala kitu vielelezo (exhibits) wala…

Si kila msaada lazima upokewe

Ndugu zangu waandishi wa habari katika Mkoa wa Arusha, wameahidiwa ‘zawadi’ ya kufungia mwaka 2016 na kufungulia mwaka 2017. Wameahidiwa msaada wa pikipiki mbili!  Sina hakika, ni pikipiki za aina gani, lakini kama ni miongoni mwa hizi zinazosambazwa na uongozi…

Yah: Naota ndoto ya siku tano…

Siku ya kwanza naamka asubuhi naona jua limechomoza, nimechoka akili na mwili kwa kazi ngumu na nzito kwa maendeleo ya kaya yangu. Nawaangalia wanangu na Mama Chanja hali kadhalika wamesawajika kwa kilichotokea. Hakuna uchawi wala mazingaombwe ni uwajibikaji wa nguvu…

Mchele una chuya na chenga

Siasa ni itikadi inayofuatwa na kundi au jamii fulani ambayo ni msingi wa kuendesha uchumi, utamaduni na mwenendo mzima wa maisha ya jamii hiyo. Aidha, ni mbinu ya utekelezaji au uendeshaji wa jambo kwa kutumia busara na hekima ili kufikia…

Mila na desturi za Wazanaki: faida za kibanziko

Kuna baadhi ya mila na desturi tulizorithishwa na wazee wetu tunaambiwa hazifai. Lakini zipo mila na desturi ambazo zinaweza kuchangia kuimarishwa kwa mahusiano ndani ya jamii. Mojawapo ya desturi hizo kwa kabila la Wazanaki ni wimbo unaojulikana kama kibanziko. Mzee…