JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Sherehe zimekwisha, tuchape kazi

Mpendwa msomaji, Heri ya Mwaka Mpya 2017. Leo nimeona niandike mada inayohusiana na maisha. Nafahamu kuwa mwezi uliopita ulikuwa wa mapigo. Kwa wenzangu na mimi wanaofanya biashara za kubangaiza, umekuwa mwezi mgumu kuliko maelezo.  Mwezi huu ndiyo usiseme. Kwa watu…

Mgogoro wa Israel na Palestina -2

Katika sehemu ya kwanza ya makala hii, wiki iliyopita tulishuhudia eneo la Jeruzalem lilivyokuwa likikaliwa na Wafilisti na Wayahudi bila shida. Leo tunakuletea sehemu ya pili, inayoendeleza simulizi za chimbuko la mgogoro wa Waisrael na Wapalestina. Endelea… Kwa mujibu wa…

RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 28

Wafanyabiashara pasua kichwa   519. Misamaha ya kodi inayotolewa na IPC imekuwa ikitoa mwanya wa kuvuja kwa mapato ya serikali. Baadhi ya wawekezaji wamekuwa wakiomba misamaha kwa vitu vingi kuliko wanavyohitaji kukamilisha miradi yao. Kwa mfano pale ambapo mwekezaji alihitaji…

Elimu ya kemikali tatizo mkoani Geita

Mkoa wa Geita ni miongoni mwa mikoa ambayo kuna migodi ya dhahabu, ambayo pia inahusisha matumizi ya kemikali bila kufuata masharti kama yalivyoainishwa na ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali. Kumekuwapo na matumizi ya kemikali hatarishi katika mazingira bila kujali…

Barrow: Mlinzi aliyemwangusha Yahya Jammeh

Rais mteule wa Gambia, Adama Barrow, alizaliwa Februari 1965 katika kijiji kidogo cha Jimara, Mankamang Kunda. Historia inaeleza kuwa Barrow alipata elimu yake ya msingi katika shule ya Kunda pamoja na elimu yake ya sekondari nchini Gambia. Baadaye alikwenda nchini…

Mwaka 2016 umetuachia mashaka mengi mno

Ndugu Rais, tunakutana hapa kwa mara ya kwanza leo siku ya tatu ya Mwaka huu Mpya wa 2017. Nawatakia wasomaji wangu wote na wote wenye mapenzi mema, heri na baraka ya Mwaka Mpya, uwe mwaka wa mafanikio kwenu na Mwenyezi…