JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Fursa katika malengo endelevu kisekta

Serikali, kupitia Wizara ya Fedha na Mipango, inaendelea na mchakato wa kuelimisha na kuhamasisha umma kuhusu utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs). Uelimishaji na uhamasishaji unatekelezwa kupitia warsha mbalimbali za kikanda zinazoendelea kufanyika hapa nchini. Lengo ni kuhakikisha wadau…

Rais Magufuli naomba uniazime sikio

Wiki iliyopita nimesikia mambo mengi, ila mawili yaliniingia akilini. La kwanza ni hotuba ya Rais John Pombe Magufuli akiadhimisha miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, ambayo kwa mara ya kwanza yameadhimishwa upande wa Tanganyika.  Hii ni historia ya pekee,…

Mgogoro wa Israel na Palestina -4

Wiki iliyopita, makala hii iliishia kwa kuonesha kuwa Wazayuni waliitumia vyema bahati ya mtende – juu ya kufunguliwa kwa milango ya Wayahudi kuhamia Palestina – na ndani ya robo karne idadi ya Wayahudi iliongezeka mara kumi zaidi. Je, unafahamu nini…

RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 30

SMZ imeibiwa mabilioni   576. Benki Kuu yaTanzania ibuni mbinu za kupunguza matumizi ya fedha taslim katika uchumi wetu. Sheria zote muhimu zifanyiwe marekebisho ili kuwabana wale wote wanaolimbikiza fedha majumbani mwao.   577. Kampuni au biashara inaposajiliwa, wanaohusika na…

Hotuba ya Rais Magufuli mkoani Simiyu

Mheshimiwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame, Waheshimiwa Waziri Hajji kutoka Zanzibar, Mheshimiwa Naibu Waziri Luhaga Mpina, Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa, Mheshimiwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi wa Mkoa wa Simiyu, Waheshimiwa wabunge wakiongozwa na Mbunge wa Jimbo…

Kafulila na ndoto ya mageuzi

Aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi), aliyerejea chama chake cha zamani – Chadema – amesema kuwa moja ya mambo anayofikiria ni kugombea tena ubunge. Akizungumza na JAMHURI, Kafulila amesema kuwa ubunge ilikuwa ni moja ya ngazi ya kumuinua…