JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Kigogo wa CCM anaswa uraia

  Kigogo CCM anaswa uraia *Anyimwa pasipoti kwenda ziarani China *Apanda vyeo na kushika nafasi nyeti nchini *Apewa maelekezo mazito kutimiza masharti *Baba aliingia Tanzania akiwa na miaka 3   NA WAANDISHI WETU, DODOMA   Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi…

Polisi, mbunge washiriki ‘wizi’

Mchezo wa wanasiasa kutumia kampuni za mfukoni kunyofoa rasilimali za umma bado unaendelea, baada ya JAMHURI kubaini kuwa mmoja wa wabunge wamejipatia zaidi ya Sh bilioni 40 kwa njia ya udanganyifu. Kibaya zaidi na bila woga, waliokabidhiwa dhamana ya kulinda…

Watendaji Kilwa wachunguzwa

Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi, ameiagiza Wilaya ya Kilwa kuunda timu itakayofanya uchunguzi ili kubaini watendaji waliosababisha kukwama kwa ujenzi wa zahanati ya Kijiji cha Kisongo, pamoja na ujenzi wa maabara ya Shule ya Sekondari Kata ya Lihimalyao. …

Lukuvi, Kakoko kumaliza mgogoro ardhi Mtwara

Wiki moja baada ya gazeti hili kuchapisha makala kuhusu mgogoro wa ardhi kati ya Mamlaka ya Bandari ya Mtwara na wananchi wa Kitongoji cha Ng’wale, Mtwara Vijijini, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA), Deusdedith Kakoko, na Waziri…

Mvutano mpya Loliondo

Wakati Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro ikitoa ratiba ya mpangokazi wa Kamati Shirikishi ya Mapendekezo ya Kumaliza Mgogoro wa Pori Tengefu la Loliondo katika Wilaya ya Ngorongoro, mkakati mpya wa kukwamisha mpango huo umebainika. Mpango huo, uliotolewa na…

Hongera polisi Dar kudhibiti mapanga

Wiki iliyopita, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna wa Polisi Simon Sirro, amepiga marufuku uuzaji wa silaha za jadi hadharani.  Silaha za jadi zilizozuiwa kuuzwa hadharani ni pamoja na mapanga, pinde, mikuki, manati, majambia na visu….