Latest Posts
Simba kumekucha
Ni shangwe kila kona ya nchi, mabingwa wa soka wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2017/2018, Simba SC imetoa zawadi ya Sikukuu ya Mapinduzi kwa Watanzania. Simba imeiadhiri JS Saoura ya Algeria katika mashindano ya Klabu Bingwa barani Afrika…
Hujuma korosho
Juhudi za Rais John Magufuli kudhibiti magendo katika biashara ya korosho, maarufu kama ‘kangomba’ zinaelekea kuingia doa kutokana na watendaji aliowaamini katika ngazi ya wilaya kushiriki biashara hiyo, uchunguzi wa JAMHURI umebaini. Taarifa kutoka mikoa ya Ruvuma, Mtwara na Lindi…
Aliyetekwa arejeshwa kwa staili ya Mo
Raymond Mkulo (29) anayedaiwa kutekwa na watu wasiojulikana Novemba 18, mwaka jana katika ufukwe wa Coco, Dar es Salaam, naye amerejeshwa kwa mtindo unaoshabihiana na ule uliotumika kumrejesha mfanyabiashara Mohamed Dewji (Mo). Mkulo alipotea kwa siku 47 tangu alipotekwa akiwa…
Kilichong’oa mabosi TAKUKURU
Mchezo wa rushwa aliounusa Rais John Magufuli katika Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), ukabila, ukanda na usiri wenye lengo la kunufaisha watu binafsi na jamaa zao, vimetajwa kumsukuma Mkurugenzi Mkuu mpya wa Takukuru, Diwani Athumani, kufumua mtandao…
Apandishwa kizimbani Moshi kwa udanganyifu
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) imemfikisha mahakamani Mhasibu wa Mapato wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai, John Bogohe, kwa makosa matatu ikiwamo kutumia nyaraka kwa nia ya kumdanganya mwajiri. Mhasibu huyo alifikishwa katika Mahakama ya Wilaya…
IGP inusuru Tunduru
Katika toleo la leo tumechapisha taarifa za magendo ya zao la korosho, maarufu kama ‘kangomba’ inayoendelea katika mikoa ya Ruvuma, Mtwara na Lindi. Kwa kiasi kikubwa, habari hiyo imejikita katika Mkoa wa Ruvuma, Wilaya ya Tunduru. Watendaji wa umma katika…