Latest Posts
Ruto amteua Profesa Kithure Kindiki kuwa Naibu Rais
Rais William Ruto amemteua Waziri wa Usalama wa Ndani Kithure Kindiki kuwa Naibu Rais ajaye kufuatia kutimuliwa kwa Rigathi Gachagua Alhamisi usiku. Jina la Kindiki limewasilishwa bungeni ambapo wabunge wanatarajiwa kulipigia kura. Spika Moses Wetang’ula alitangaza uteuzi huo katika Kikao…
Tuondokane na matumizi ya nishati isiyo safi kulinda afya zetu – Mwanaidi
đź“ŚAsema majiko yanayotoa nishati safi ya kupikia ni salama đź“ŚAtaja Wanawake kuathirika zaidi na matumizi ya nishati zisizo safi Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mwanaidi Khamis ametoa rai kwa jamii kuondokana na matumizi ya…
Kuna uwezekano wa kiongozi wa Hamas kuuawa -IDF
Jeshi la Ulinzi la Israeli (IDF) na Shirika la ujasusi Shin Bet wamethibitisha uwezekano wa kiongozi wa Hamas, Yahya Sinwar, kuuawa katika shambulizi la hivi karibuni la anga lililofanywa Gaza. Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Israeli, uwezekano wa…
Kibaha yafikia asilimia 33 ukusanyaji wa mapato robo ya kwanza 2024/2025
Na Mwamvua Mwinyi, JakhuriMedia, Kibaha Halmashauri ya Mji wa Kibaha, mkoani Pwani, imeongeza mapato yake ya ndani kutoka asilimia 23 hadi asilimia 33 katika kipindi cha robo ya kwanza (Julai-30 Septemba) kwa mwaka wa fedha 2024/2025. Aidha, halmashauri hiyo inaendelea…
Serikali kuwezesha vifaa vya uongezaji thamani madini ya vito na usonara kwa vijana wa TGC
â—ŹNi utekelezaji wa Programu ya Mining For a Brighter Tomorrow(MBT) ⚫️Wizara ya Madini kuwapatia vifaa kwa lengo la kujiajiri â—ŹKuwajengea Uwezo wa masoko na kuwaunganisha na sekta ya ajira â—ŹLengo ni kuendeleza Ujuzi wa kiufundi na Ubunifu kwenye uongezaji thamani…
MSD Kanda ya Dar yakutana na wadau wake kuboresha upatikanaji bidhaa za afya
Bohari ya Dawa (MSD) Kanda ya Dar es Salaam imeandaa kikao kazi na wadau wake wa mkoa wa Pwani kilichofanyika mkoani Pwani – Wilayani Kabaha katika Chuo cha Mwalimu Nyerere kuzungumza kwa pamoja namna ya koboresha upatikanaji wa bidhaa za…