JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Profesa Tibaijuka: Tumempata Rais mtetezi

“Rais Magufuli. Mtetezi wa Wanyonge na Wajane. Tunakushukuru. Tunakupongeza. Tunakuombea. Uzi uwe ule ule.”   Wanawake hatuna budi kumshukuru na kumpongeza Rais John Magufuli, kwa kututetea sisi wajane tunaonyanyaswa na mifumo dume na kuporwa haki zetu na watoto wetu. Jana…

‘Siri ya utajiri wa Dk. Kigwangalla’

Nimeanzisha utaratibu wa kuandika ujumbe wenye kuhamasisha mabadiliko ya kifikra kwa vijana wa nchi yetu. Sababu ikiwa ni imani yangu kubwa kwamba hizi ni zama zetu kuchukua majukumu ya kuongoza mageuzi kwenye kila eneo la maisha ya jamii yetu. Kwenye…

Kuwafukuza, kuwashusha vyeo walimu ni kuwaonea

Ualimu ni kada muhimu kweli kweli kwa maendeleo ya jamii yoyote. Taifa linaloipuuza kada hii halina mwisho mwema. Matokeo ya kidato cha nne nchini yaliyotolewa wiki iliyopita, yamepokewa kwa mitazamo tofauti. Shule binafsi zimeendelea kung’ara dhidi ya shule za umma….

Chema chajiuza, kibaya chajitembeza

Chema chajiuza kibaya chajitembeza ni methali kongwe katika lugha yetu ya Kiswahili. Ni methali iliyojaa hekima na ushawishi mkubwa wa kupambanua kitu au jambo zuri na bora, au baya na dhaifu. Waswahili hutumia methali hii katika kupima mwenendo wa binadamu…

Yah: Matamko na athari katika jamii ni vita ya maneno

Kuna raha ya matamko unaposikia na hasa kama tamko limetoka kwa anayestahili kutoa tamko ili lifanyiwe kazi, raha ya tamko ni pale linapotekelezeka pasi na kuingiza ujanja wa mjini wa kucheza na maneno. Leo tunashuhudia na kusikia matamko kutoka kwa…

Riadha yapata msisimko

Baada ya mchezo wa riadha kufanya vibaya kwa muda mrefu na kuanza kupoteza msisimko miongoni mwa Watanzania, sasa unaonekana kurudisha msisimko baada ya mafanikio kutoka kwa mwanariadha Felix Simbu. Ushindi wa Simbu katika mashindano ya mbio za Standard Chartered Mumbai…