JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mwakyembe hawezi kuifuta TLS

Wiki hii nchi imeingizwa katika mjadala mrefu usio na tija. Waziri wa Sheria na Mambo ya Katiba, Dk. Harrison Mwakyembe nadhani amehemka tu, akasema ikibidi atakifuta Chama cha Wanasheria cha Tanganyika (TLS). Kauli ya Dk. Mwakyembe imetoka muda mfupi baada…

Mgogoro wa Israel na Palestina – 9

Madhumuni ya Mamlaka:  Dhana ya Mamlaka za Kimataifa (International Mandates) zilichagizwa na Rais Wilson na viongozi wengine wa mapinduzi ya Russia na ukomo wa vita katika Vita ya Kwanza ya Dunia isingehusisha mmego wowote (annexation), lakini ingekatika katika Kanuni Kuu…

RIPOTI YA RUSHWA YA JAJI WARIOBA – 35

Wagawa viwanja barabarani Ugawaji wa nyumba za Shirika la Nyumba (NCH)   663. Kwa muda mrefu kumekuwepo na malalamiko miongoni mwa wananchi kuhusu ukiukwaji wa utaratibu unaotumika katika kugawa nyumba za Shirika. Baadhi ya waombaji wa nyumba hizo wamejaza fomu…

Usalama wa wachimbaji wadogo, changamoto kubwa

Mkoa wa Geita, ambao umetawaliwa na shughuli za uchimbaji madini, sasa unakabiliwa na changamoto za usalama kazini katika machimbo yanayowahusisha wachimbaji wadogo. Moja ya matukio hayo ni pamoja na lile lililotokea usiku wa kuamkia Januari 26, mwaka huu ambapo watu…

Ndugu Rais vita dawa za kulevya tusilaumiane, tusahihishane

Ndugu Rais tumejitoma katika vita dhidi ya dawa za kulevya. Ni kwa bahati mbaya sana vita yetu hii imeanza kwa kuzua zogo kubwa katika nchi. Watu wamevurugana na kugawanyika. Vita inayopiganwa na wapiganaji waliogawanyika haijawahi kushinda popote duniani. Kama tunadhani…

Historia ya matibabu ya saratani

Historia ya matibabu ya saratani ya aina yoyote hapo kabla, watu ambao wamewahi kuwa na aina nyingine za saratani hapo awali, na wakati wa matibabu wakapewa tiba ya mionzi, dawa kali za saratani, wapo katika hatari kubwa ya kupata ugonjwa…