JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Yanga mguu sawa

Huku ikiendelea na harakati za kutetea ubingwa wake wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Dar es Salaam Young Africans ‘Yanga’, yenye makao yake makuu mitaa ya Twiga na Jangwani, Jijini, inaendelea na mikakati ya kushinda mechi yake na Zesco,…

Ridhiwani achunguzwa

Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete, anachunguzwa na vyombo vya dola kuhusiana na tuhuma za kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya, JAMHURI linathibitisha. Habari za uhakika zilizolifikia JAMHURI na kuthibishwa na mamlaka mbalimbali, jina la mbunge huyo ambaye ni mtoto…

Ajira kikwazo cha uchumi

Ukosefu wa ajira kwa vijana wenye elimu ya juu ni miongoni mwa sababu zinazochangia uchumi wa nchi kuporomoka, huku vitendo vya uhalifu vikiongezeka katika jamii. Akizungumza na JAMHURI, Mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Humphrey Moshi,…

Wastaafu walia na Swissport

Waliokuwa wafanyakazi wa Shirika la Ndege Tanzania (ATC), Kampuni ya mizigo Dahaco na baadaye Swissport Tanzania, wamelalamikia uongozi wa kampuni hiyo kwa kushindwa kuwalipa waliokuwa wafanyakazi wake 109, zaidi ya Sh bilioni 15 ikiwa ni malimbikizo ya mishahara na stahiki…

Uzuiaji viroba sawa, mifuko ya plastiki nayo iunganishwe

Serikali imepiga marufuku utengenezaji na usambazaji pombe maarufu kwa jina la ‘viroba’ kuanzia Machi mosi, mwaka huu. Uamuzi huu umetokana na ukweli kuwa matumizi ya ‘viroba’ yalishavuka mipaka; na hivyo kuwa chanzo cha maovu na misiba nchini kote. Hatua hii,…

Ng’ombe 1,000 wanaliwa Dar kila siku

Ng’ombe 1,000 wanaliwa kila siku jiji Dar es Salaam. Takwimu hizo zimepatikana katika machinjio yote yaliyoko jijini.  Hali hiyo imesababisha ongezeko la mapato kutoka Sh milioni 4 hadi Sh milioni 8 kwa siku katika Mnada wa Mifugo Pugu, nje kidogo…