JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

WAZIRI MKUU AWATAKA MABALOZI KUTANGAZA VIVUTIO VYA UWEKEZAJI VILIVYOPO NCHINI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nchini Urusi na Rwanda kutumia fursa hiyo kwa kutangaza vivutio vilivyopo nchini ili kuwavutia wawekezaji kuja kuwekeza kwenye sekta mbalimbali ikiwemo ya utalii. Pia amewataka Mabalozi kila mwisho wa mwaka wajifanyie tathmini…

Simba Kazini Leo Dhidi ya Mtibwa Bila Majembe Haya

SIMBA SC itawakosa wachezaji wake watatu, mabeki Mganda Juuko Murshid, mzawa Erasto Nyoni na kiungo Mghana, James Kotei katika mchezo wake wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Mtibwa Sugar leo Jumatatu Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro…

Chicharito Ainyima Ushindi Chelsea

Mshambuliaji Javier Hernandez ‘Chicharito’ akiwa amebebwa na Marko Arnautovic wakati wakishangilia baada ya kuifungia West Ham United bao la kusawazisha dakika ya 73 katika sare ya 1-1 na wenyeji, Chelsea kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge mjini London. Chelsea…

Baada ya kupongezwa na Rais hadharani, Meya wa Atoa Neno

“Hii pongezi ya Rais ni kwa sababu alipokea taarifa ya utendaji ya jiji la Arusha na tangu alipoingia nilimweleza mambo ambayo tumefanya kwa mfano amepongeza jitihada kubwa ya ujenzi wa madarasa, tunapandisha vituo vya afya mara moja na dispensary kwa…

Padri mwengine auawa DRC

Kasisi wa kanisa katoliki amepigwa risasi na kufa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemkrasia ya Kongo. Vyanzo vya habari kutoka Kaskazini mwa jimbo la Kivu vimearifu kuwa Padri Étienne Nsengiunva alikuwa akikomnisha waumini na ndipo wakati mtu mwenye silaha alipoingia kanisani…