JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

CCBRT NA TCCO WAENDESHA MAFUNZO YA MATIBABU YA NYAYO ZA KUPINDA

HOSPITALI ya  CCBT ya Jijini Dar es Salaam kwa kushirikiana na Shirika lisilokuwa la kiserikali linalojishughulisha na kutoa huduma na matibabu ya nyayo za kupinda Tanzania( TCC0) wameendesha mafunzo ya wiki moja ya namna ya kutibu nyayo zilizopinda. Huduma hiyo…

Simba Sc Yaendelea Kutunza Rekodi ya Kutokufungwa Ligi Kuu Bara

SIMBA SC imeendelea kushikiria record yake ya kutokufungwa kwenye Ligi Kuu baada ya leo kuifunga Mbeya City kwa Mabao 3-1 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Ushindi huo unawafanya Simba wafikishe pointi 55 baada ya kucheza mechi 23, moja…

SERIKALI ITAENDELEA KUMUENZI SOKOINE

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya tano itaendelea kusimamia maadili ya utumishi wa umma ili kuenzi fikra za hayati Edward Moringe Sokoine.   “Tutaendelea kusimamia maadili ya utumishi wa umma kwa kuzingatia yale yote ambayo Mheshimiwa Sokoine…

WAZIRI MKUU AIASA JAMII KUMUENZI MZEE MTOPA KWA KUDUMISHA AMANI NA MSHIKAMANO

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiasa jamii nchini kujiepusha  na migogoro kwa vile haina tija  na badala yake idumishe amani, upendo na uadilifu ili kumuezi mwanasiasa mkongwe nchini, marehemu  Alhaj Ali Mtopa.   Aliyasema hayo jana (Jumatano, Aprili 11, 2018) alipomuwakilisha…

NCAA YADHAMINI NGORONGORO MARATHON

Mashindano ya Ngorongoro Marathon 2017, ambayo kwa mara ya kwanza yalidhaminiwa na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA). Mamlaka hiyo inadhamini kwa mara ya pili mwaka huu. (Picha na Yusuph Mussa).   Na Yusuph Mussa, Tanga MAMLAKA ya Hifadhi ya…