JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar, Amina Ally Awashauri Wafanyabiashara

Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar, Amina Ally amewashauri wafanyabiashara wa Zanzibar kuwa wabunifu katika biashara zao ili kuongeza thamani ya biashara zao jambo litakalosaidia kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja na Zanzibar kwa ujumla. Waziri Amina aliyasema hayo…

Ruvu Shooting ilistahili kushinda Mechi Yao Dhidi ya Azam FC

Kikosi cha Ruvu Shootinga kimeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa Uwanja wa Mabatini, Mlandizi jana. Mchezo umepigwa jana baada ya kuahirishwa juzi Alhamis kufuatia mvua kali kunyesha iliyosababisha maji…

Mzee Jakaya Kikwete Akiwa Mlimani City Pamoja na Wajukuu Zake

Jana Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete alitembezwa na wajukuu zake kwenye maduka ya kununulia vifaa vya kuchezea watoto katika madukaa ya Mlimani City lililopo jijini Dar es Salaam “Leo ilikuwa zamu ya wajukuu zangu kunitembeza babu yao na safari yetu iliishia…

ESTER BULAYA ASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI DAR

Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, inamshikilia Mbunge wa Bunda, Esther Bulaya baada ya kuripoti katika kituo kikuu cha Polisi na viongozi wenzake wa CHADEMA, kama walivyoamriwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Tahadhari kwa Mikoa Hii Itakumbwa na Mvua Kubwa

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imewataka wananchi kuchukua tahadhari juu ya uwepo kwa vipindi vya mvua kubwa katika maeneo yote ya pwani kuanzia leo usiku mpaka Aprili 16, mwaka huu. Mikoa iliyotajwa kuwa na vipindi vya mvua kubwa…