JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

WALIOISHIA DARASA LA 7 NA WENYE VYETI FEKI HATIMA YAO KUJULIKANA MACHI MWAKA HUU

Hatma ya watumishi walioondolewa kazini na serikali kutokana na vyeti feki, itajulikana mwezi machi mwaka huu. kauli hiyo imekuja baada ya Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), kukutana na baadhi ya viongozi wa serikali, akiwemo Waziri wa Ofisi ya…

WAZIRI MKUU ASIMAMISHA UUZAJI WA MALI ZA KNCU

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Bibi Anna Mghwira asitishe uuzwaji wa mali za Chama cha Ushirika cha Kilimanjaro (KNCU). Ametoa agizo hilo jana jioni (Jumatano, Januari 17, 2018) wakati akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara…

WAZIRI MKUU MAJALIWA AWATAKA WANAUME WA TARIME WAACHE UKATILI KWA WANAWAKE NA WATOTO

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaasa wanaume wa wilaya ya Tarime kujiepusha na vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake na watoto pamoja na kuachana na kilimo cha bangi. Alitoa kauli hiyo jana jioni (Jumatano, Januari 17, 2018) wakati akihutubia wananchi katika…

WAZIRI WA KILIMO DKT.TIZEBA ATEMBELEA KIWANDA CHA MICRONIX-NEWALA

Waziri wa Kilimo Dkt Charles Tizeba ametembea kiwanda cha kubangua Korosho cha Micronix System Limited kilichopo Wilaya ya Newala Mkoani Mtwara na kuzungumza na Viongozi wa kiwanda hicho juu ya kupandisha malipo kwa Vibarua wanaofanya kazi Kiwandani hapo. Kwa Sasa…

KAMANDA MAMBOSASA ATOA UFAFANUZI KUHUSU WAVAA VIMINI NA WANYOA VIDUKU

Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es salaam, Lazaro Mambosasa amesema hakuna sheria kuwakamata watu wanaovaa nguo fupi au kwa wanyoa viduku sisi kazi yetu ni kusimamia sheria na mimi siwezi kufanya kazi nje utaratibu wa sheria za nchi. Lakini…

BAADA YA YANGA KUKAZIWA NA MWADUI LEO NI ZAMU YA SIMBA DHIDI SINGIDA UNITED UWANJA UHURU

Wachezaji wa simba wakiwa mazoezini    Kikosi cha Singida United Iktakachozeza na Simba Sc Leo Kikosi cha Simba Timu ya Yanga jana ilitoka sare ya kutokufunga na timu ya Mwadui, na  leo ni zamu ya Simba kukabiliana na timu Singida…