JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

MSIINGIZE SIASA SUALA LA MABONDENI-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wanasiasa wajiepushe na tabia ya kuingiza siasa katika suala la kuwaondoa wananchi waishio mabondeni  kwa kuwa jambo hilo linafanywa kwa maslahi ya wananchi wenyewe.   Amesema wananchi wengi wamekuwa wakipoteza maisha na mali zao kila…

UKAGUZI BANDARINI HAULENGI KUWABAGUA WAZANZIBARI – WAZIRI MKUU

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ukaguzi unaofanywa kwenye bandari ya Dar es Salaam kwa wasafiri wanaokwenda Zanzibar, hauna lengo la kuwabagua bali ni kuimarisha ulinzi wa mipaka ya nchi.   “Hatulengi kuzuia biashara za wafanyabiashara ndogondogo, bali tunaimarisha ukaguzi ili…

Trump Atishia Kujiondoa Kwenye Mazngumzo na Kim Jong-un

Rais wa Marekani Donald Trump anasema kuwa iwapo mazungumzo yake na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong un hayazai matunda ‘atainuka na kuondoka katika mazungumzo hayo’. Katika mkutano wa pamoja na vyombo vya habari, yeye na waziri mkuu wa Japan…

Ongera King Kiba Kwa Kufunga Ndoa

  Msanii Ali Kiba amefunga ndoa leo katika msikiti wa Ummul Kulthum jijini Mombasa. Ndoa hiyo imefungwa na Sheikh Mohamed Kagera. Sherehe itafanyika hapo baadae na inatarajiwa kuhudhuriwa na watu maarufu kutoka maeneo mbalimbali. Kwa upande wake Rais wa Awamu…

Waziri Palamagamba Kabudi Akosoa kampeni ya RC Makonda kuwasaidia wanawake

Waziri wa Katiba na Sheria, Prof Palamagamba Kabudi amekosoa utaratibu uliotumiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda katika kushughulikia tatizo la wanawake wanaodai kutelekezwa na wazazi wenzao. Waziri Kabudi ameyasema hayo jana bungeni baada ya Mbunge…