JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Rais Magufuli umeokoa elimu

Jumamosi Aprili 15, 2017 imekuwa ya burudani kwangu. Nimeburudishwa na hotuba aliyoitoa Rais John Magufuli wakati akizindua mabweni ya wanafunzi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.  Kwanza ameniburudisha kwa kujenga mabweni yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi 3,840 kwa gharama…

Hotuba ya Rais Magufuli uzinduzi treni ya umeme

Sehemu ya hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyoitoa wakati wa uzinduzi wa reli ya kisasa, Aprili 13, 2017 Pugu jijini Dar es Salaam.   Inakadiliwa kuwa wakati wa ujenzi wa reli hii takriban watu 600,000 watapata…

‘JAMHURI’ lapongezwa Kibweta cha Nyerere

Gazeti la JAMHURI limepongezwa kwa kuchapisha makala mbalimbali za Mwalimu Julius Nyerere na Ripoti ya Rushwa ya Jaji Joseph Warioba zinazolenga kuwapa wananchi kumbukumbu ya matukio yaliyotokea hapa nchini kwa vipindi tofauti. Akichangia mada kuhusu uzalendo, uadilifu na utaifa katika…

Hotuba tata ya Nape kutoka Mtama

Ndugu Rais, Mbunge wa Mtama, Ndugu Nape Moses Nnauye amepata mapokezi makubwa jimboni mwake. Alienda kwa wapiga kura wake baada ya kuenguliwa kwenye uwaziri. Tunaambiwa mapokezi yale hutolewa kwa shujaa aliyerudi na ushindi. Ni ushindi gani Nape alirudi nao Mtama…

Usiogope kusamehe

Nilipotoa makala yangu iliyokuwa inasema ‘Tujifunze kupendana na siyo kuumizana’, katika gazeti la JAMHURI linalotolewa nchini, Tanzania na kuchapishwa na Jamhuri Media, Toleo No. 249, ISSN Na 1821-8156, Julai 5-11, 2016, mwanandoa mmoja ambaye kwa sababu maalumu sitaweza kulitaja jina…

Kujenga Tanzania: Nini kifanyike? (3)

Mwalimu pale pale Arnaoutoglou alisema – “Jeshi la Kujenga Taifa liko mfano wa Jungu Kubwa (Moulding Pot) ambamo vijana wa tabia na mienendo mbalimbali wanatakiwa kupikwa pamoja na kuundwa kuwa vijana wa Taifa moja lenye nguvu na wenye tabia na…