JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Askari 6 Waliohusishwa na Kifo cha Akwilina Hawana Hatia

Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP), Biswalo Mganga amelifunga rasmi jalada la kesi ya aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwilin (22). Alisema kuwa, alipokea jalada la kesi ya askari sita waliokuwa wakishikiliwa na Jeshi la Polisi…

Ujue kwa Undani Ugonjwa Uliomuua Agness Maogange

Taarifa tulizopokea leo ni kuwa aliyekuwa video vixen Agnes Gerald maarufu Masogange amefariki dunia mchana wa leo. Wakili wa mlimbwende huyo, Roben Simwanza amethibitisha kutokea kwa kifo hicho majira ya saa 10 jioni leo Ijumaa April 20, 2018. Semwanza amesema…

Hizi hapa Nchi zinazofadhili Matibabu ya Tundu Lissu

Spika Job Ndugai amelieleza Bunge kuwa matibabu ya Mbunge wa Singida Mashariki, tundu Lissu (CHADEMA) aliyeko hospitalini nchini Ubelgiji yanagharamiwa na serikali ya Ujerumani. Ndugai alisema amefahamu hilo kwa kupewa taarifa na Balozi wa Ujerumani nchini, Dkt Detlef Weacter lakini…

TANZIA: Agness Gerald ‘Masogange’ afariki dunia

Video Queen maarufu nchini Tanzania, Agness Gerald maarufu kama Masogange amefariki dunia jioni ya leo Aprili 20, 2018 katika hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge, jijini Dar es salaam. Taarifa za kifo hicho zimethibitishwa na ndugu wa karibu na marehemu,…