JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Uhuru wa Habari uheshimiwe

Kesho, Mei 3 waandishi wa habari Tanzania wanaungana na wenzao duniani kuadhimisha Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani. Ilianza kuadhimishwa rasmi na Umoja wa Mataifa (UN) kutokana na tamko la Windhoek, lililotolewa na waandishi wa Afrika kutetea uhuru…

ACP Awadhi anaipa heshima polisi

Wiki iliyopita kulitokea sintofahamu kati ya dereva wa gari la Gazeti la JAMHURI na mmoja wa matrafiki. Baada ya tukio hilo nilibaini chembe chembe za uonevu na nikaamua kuchukua hatua za kisheria kupitia mkondo wa utawala dhidi ya askari aliyekamata…

‘Woga ndio silaha dhaifu kuliko zote’

Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi, amezungumza jambo la maana sana. Amewataka wananchi wasilalame tu, badala yake wachukue hatua dhidi ya ukiukwaji wa haki pale unapojitokeza. Amewataka watumie vyombo kama Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora…

Ndugu Rais wengine tuombe tusije kukumbukwa

Ndugu Rais niliugua sana kifuani mwangu nilipokutafuta nami nisikuone siku ile Watanzania tulipokuwa tunamuaga Sir George Clement Kahama  katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Uliikosa fursa ya kuzisikia busara na hekima za Rais Mstaafu Ali…

Conte ajawa mchecheto EPL

Ligi Kuu nchini Uingereza imeingia katika hatua ya lala salama huku nafasi ya kutwaa ubingwa ikiwa mikononi mwa vilabu vya Chelsea yenye alama 78 kwa kucheza michezo 33 na Tottenham Hotspur yenye alama 74 ikiwa na michezo 33. Kutokana na…

Siri ya mauaji

M atukio ya ujambazi wa kutumia silaha, mauaji ya polisi na viongozi wa vijiji katika wilaya za Mkuranga, Kibiti na Rufiji mkoani Pwani, yanahusishwa na vikundi vya vijana wanaopata mafunzo kutoka kwenye kundi la al-Shabaab nchini Somalia, JAMHURI limefahamishwa. Kwa…