JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Dk. Shein ameifanyia Zanzibar mazuri

Ni miaka saba sasa tangu Dk. Ali Mohammed Shein, Rais wa Awamu ya Saba Zanzibar kushika hatamu za uongozi wa Visiwa vya Zanzibar baada ya ushindi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mengi yalisemwa na kuandikwa kuhusu utawala wake utakavyokuwa kabla…

Waandishi tujimulike kielimu

Wiki iliyopita yametokea matukio mawili makubwa. Wanahabari tumeadhimisha siku ya uhuru wa vyombo vya habari. Siku hii inaadhimishwa kimataifa na kitaifa imeadhimishwa jijini Mwanza. Kaulimbiu ya siku ya mwaka huu imekuwa ni Fikra Yakinifu, Jukumu la Vyombo vya Habari katika…

Tujifunze kutunza muda

Faraja ya Raph W. Sockman inasema, “Msingi wetu wa matumaini ni kwamba, daima Mungu hamchoki mwanadamu.” Katika makala ya leo nitazungumzia matumizi ya muda na vikwazo mwanadamu anavyokumbana navyo katika safari yake ya maisha. Ninaomba kukuuliza swali hili: Kama leo…

Hivi hadi leo hatujamwelewa Magufuli?

Kwanza naomba nitumie fursa hii kuungana na wazazi, ndugu, jamaa na Watanzania wote kwa msiba mkubwa wa kuondokewa na watoto wetu – wanafunzi wa Shule ya Lucky Vicent ya jijini Arusha – katika ajali iliyotokea Karatu. Taarifa ya awali iliyotolewa…

Nakutambua, nitambue

Jina langu ni Nani. Umri wangu ni zaidi ya karne ishirini na moja. Nimeumbwa kwa udongo na maji. Ninaye ndugu yangu, majirani na marafiki. Nimejaaliwa kupata watoto, wajukuu, vitukuu na vilembwe. Niko ulimwenguni. Nimekula chumvi nyingi na kuona mambo mengi….

Yah: Mei Mosi sherehe ya utumishi au kusubiri ongezeko la mshahara

Leo naandika waraka huu kwa mara ya kwanza kuwakumbuka akina pangu pakavu kauka tukuvae, kila mwaka tarehe hii ya mwanzo wa Mei  huwa ni hatima ya furaha ya mfanyakazi yeyote, wengi huishiwa na amani na furaha na wapo ambao hujaa…