Latest Posts
Tathmini kuelekea Kombe la Dunia
Mataifa 32 yaliyofuzu kucheza Kombe la Dunia nchini Urusi, tayari yamegawanywa katika makundi manane yenye timu nne kila moja, huku presha ikiendelea kupanda kila kukicha. Makundi hayo ni: Kundi A Kundi hili lina mwenyeji wa mashindano hayo, Urusi sambamba na…
Liverpool vs AS Roma Leo Mtoto Hatumwi Dukana UEFA
Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya inaendelea tena leo usiku ambapo Liverpool watakuwa wanaikaribisha AS Roma kwenye Uwanja wa Anfield. Liverpool waliingia hatua ya nusu fainali baada ya kuitoa Manchester City kwa jumla ya mabao 5-1. AS Roma nao walitinga hatua…
Watu 10 wauawa kwa kugongwa na gari la mizigo Canada
Watu tisa wameuawa mjini Toronto, nchini Canada baada kugongwa na gari la mizigo ambalo lilielekea katika mtaa wenye watu wengi. Wengine 16 wamejeruhiwa pia. Mashuhuda wanasema kuwa dereva huyo aliendelea kuliendesha gari takribani umbali wa kilomita moja hivi. Diego de…
Israel Yampongeza Rais Magufuli
Serikali ya Israel imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kwa kurejesha uhusiano unaolenga kuziimarisha nchi hizi mbili kiuchumi. Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na Waziri wa Sheria wa Israel, Mhe. Ayelet…
Fatuma Karume Asema TLS Hawezi Kudhibitiwa
Siku chache baada ya Rais Dkt. John Magufuli kumtaka Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma, kukidhibiti Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Rais wa chama hicho, Fatma Karume ameibuka na kusema kuwa hakuna wa kukidhibuti chama hicho. Fatma ambaye alishinda…