JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Nyerere – Uongozi

“Mtanzania wa leo hawezi kununua watu bila kwanza yeye kununuliwa.” Nukuu hii ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyochukuliwa katika ukurasa wa 116 katika kitabu cha Nukuu za Kiswahili za Mwalimu Nyerere aliyezaliwa mwaka 1922. Alifariki dunia Oktoba 14,1999. Dk. Magufuli…

Madereva wa Serikali walia

Taarifa hii ni ya Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania, inayohusu tamko la Serikali la kurejeshwa kazini kwa watumishi wa darasa la saba lililotolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utumishi na Utawala Bora), George Mkuchika, bungeni Dodoma. Chama…

MAFANIKIO YOYOTE YANA SABABU (19a)

Padre Dk Faustin Kamugisha Uvumilivu au ustahimilivu ni siri ya mafanikio. Uvumilivu ni kuanguka mara 99 na kuinuka mara ya 100. Katika msingi huu Julie Andrews alisema, “Uvumilivu ni kushindwa mara 19 na kushinda mara ya 20.” Matone yanayodondoka mwishowe…

HIVI NDIVYO AS ROMA ILIVYOKUFA 5-2 ANFIELD NA LIVERPOOL

Liverpool imeitandika AS Roma kwa Mabao 5-2 na kujiweka sehemu nzuri ya kutinga hatua ya fainali, mabao ya Liverpool yalifungwa na Mshambuliaji Mmisri Mohamed Salah aliyefunga mabao 2 dakika ya 36 na 45 Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Msenegal Sadio…

Maandalizi ya sherehe ya Muungano yakamilika Haya Hapa

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma kukagua hatua iliyofikiwa katika maandalizi ya sherehe za Muungano wa Tanganyika na…